AIRBAG system iko na sensa ya kuchunguza kutikisa, ina maaana gari ikitikisa gafla kupiita kiasi, hii sensa itapeleka umbea kwa ECU (control boxi)!
Sasa, ECU ikipata itapeleka moto (power) kwa defletor na kulipuwa AIRBAG namna tulijaribu kuoneshana hapa👇pamoja na chakufanya ili kutoa/kuziima hiyo taa ya AIRBAG👨🔧