ANDROID SECRET CODES

Kwenye simu yako kuna menyu nyingi zenye ujanja wa tofauti uliofichwa, na kuzifikia hizi menyu ni kutumia hizi misimbo au tuseme nambari hizi za siri! Baadhi ya misimbo hujulikana kama, misimbo ya MMI code, USSD code, na SS code!
Kabla ya kuendelea…..

ONYO:

Kwanza kabisa, usikosee au na ikiwa huelewi kuhusu misimbo yoyote ya siri ya Android ambayo imeorodheshwa hapa chini, basi ni bora kuiacha. Kuchezea misimbo ya siri isiyojulikana kunaweza kuharibu simu yako.

Misimbo hii imejaribiwa na inafanya kazi vizuri, lakini baadhi inaweza kufanya kazi kwenye baadhi ya simu za Android, kulingana jina/brandi ya simu jinsi tumeeleza hapa chini!
Hata hivyo, tena, tunakuomba kuwa makini unapozitumia kwani hatuwajibikii upotevu au uharibifu wowote, HAPA UJANJA tu! Natumaini ujanja huu ukusaidia!

Tafadhali, kiwa una shaka yoyote, tujulishe kwenye kisanduku cha maoni uko ya chini ya page,
au chat na SUZAN!
Sasa, kuna tofauti gani kati  ya, USSD, MMI & SS?

Kila msimbo unaoweka kwenye kibodi ya simu yako ambacho kina vibambo vya nyota (*) au hashi (#) ni msimbo wa MMI.
MMI, urefu wake ni “Man-Machine-Interface“.

Ingawa nyingi ya misimbo hii ya MMI inaonekana kuwa sawa, juu ya hiyo blaa blaa ya * au na #, lakini iko katika vikundi tofauti na vitendo tofauti kabisa.
Baadhi hutumiwa tu ndani ya kwenye simu hata bila kuunganishwa kwende netiwaki au tuseme bila simu kadi, baadhi hutumwa kwa SIM kadi, zingine hutumwa ni mpaka simu iwe imeonganishwa kwenye mtandao.

Aina tofauti za misimbo ya MMI

Supplementary Service (SS) codes

Hizo ndizo misimbo zinazotumiwa kudhibiti, kwa mfano, usambazaji wa simu au uwasilishaji wa nambari.
Kwa mfano, *21*123456789# ungeagiza simu yako iombe mtandao kusambaza au ku divert simu zako zote zinazoingia kwa nambari 123456789. Lakini msimbo huu hautumwi moja kwa moja kwenye kompyuta za kampuni ya mtandao wa simu yako, yaaani kuna uchawi unafanyika kati ya sim kadi na simu.
kwa kitaalamu tuanita ASN1 blaa blaa!

Misimbo hii imewekwa kwenye kila kifaa au simu ya GSM/UMTS/LTE duniani kote na haiwezi kubadilishwa na kampuni au opereta wa mtandao wako.
Infact ni zile call settings kama hii chini! 

Unstructured Supplementary Service Data (USSD) codes

Ukiweka msimbo ambao unaishia kwa ishara ya heshi (na ubonyeze YES au ishara ya CALL kupiga simu) na hautambuliwi na kichanganuzi cha simu cha MMI ndani mwa simu, msimbo huo utatumwa moja kwa moja kwenda kwenye kompyuta za kampuni ya mtandao wa hiyo SIM kadi iliopo kwa simu.

Na inategemea, mtandao ikiwa inaelewa hiyo USSD code itarudisha majibu, vinginevyo utapata ujumbe kama huu!

Mojawapo ya kesi zinazotumiwa sana ni kuangalia salio lako. Mitandao mingi hutumia kitu kama *100#.
Lakini kwa kweli ni chaguo la kampuni au opereta wa mtandao msimbo au code yipi gani wa kutumia mradi haujachukuliwa na kampuni ingine!

Mara nyingi, kwa misimbo ya SS na USSD kila wakati unahitaji kubonyeza kitufe cha YES ama CALL baada ya kuziingiza!

Zile MMI zingine ambao nyingi hauhitaji kubonyeza YES, sherika au mamlaka inaohusika mawasiliano dunaniani linalazimisha kila simu inaotengenezwa, iwe imeundwa na hizi code ambao ndo tunatka kuoneshana niaje!
Mfano mmoja ambao ni wa lazima kwa watengenezaji wote wa simu za GSM/UMTS/LTE kutekeleza ni *#06#

yakuonyesha IMEI ya vifaa (Kitambulisho cha Vifaa vya Simu ya Kimataifa)

Alafu tena, mtengenezaji wa simu nae amefafanua misimbo ya MMI, Samasung, Techno, Ifinix, nk, na ndo maana MMI code zingine zinaweza kufanya kwa simu zingine, na kwa zingine HAPANA!

Misimbo wa hizi MMI codes tunaoneshana, imeundwa ndani na mtengenezaji ili, kwa mfano, kuwezesha menyu za huduma au kuweka upya kifaa. Misimbo hii pia ina herufi * na #. Kwa kuwa misimbo haitumwi kwenye mtandao, si lazima ubofye kitufe cha mwishoni – zinatekelezwa mara tu tarakimu au herufi ya mwisho imeingizwa.

NOTE:

Kwa blaa blaa ya Lugha, tuanomba tufanye kwa Englishes, kueleza uchawi wa hiyo code kwa ufupi, ili tusichanye maana!
Asante kwa kutwelewa, tunaomba utafsiri au muulize Suzani kama kuna inaokuchanganya!
Alafu kule chini kwa hii page, chini kabisa, kwa lugha ya kiswahili tuanendelea kuelekeza kwa urefu kuhusu kila code! 

Generic au secret codes za kila simu ya Android
(Info codes kupata umbea/maelezo  kuhusu simu, nk)
 
CODE FUNCTION
*#06# Show phone’s IMEI
*#07# Displays the Specific Absorption Rate (SAR) value of the device
*#*#225#*#* Displays calendar storage info
*#*#426#*#* Google Play Services info or Firebase Cloud Messaging diagnostics (Select devices only)
*#*#759#*#* Access Rlz Debug UI (Select devices only)
*#0*# Info menu (Select devices only)
*#*#4636#*#* Info menu (Select devices only)
*#*#34971539#*#* Camera info (Select devices only)
*#*#1111#*#* FTA software version (Select devices only)
*#*#1234#*#* PDA software version
*#12580*369# Software and hardware info
*#7465625# Device lock status
*#*#232338#*#* MAC address
*#*#2663#*#* Touchscreen version
*#*#3264#*#* RAM version
*#*#232337#*# Bluetooth address
*#*#2222#*#* Hardware version
*#*#44336#*#* Software version and update info
*#*#273282*255*663282*#*#* Backup all media

Testing codes kuchugaza

Code Function
*#*#197328640#*#* Test mode
*#*#232339#*#* Wi-Fi test
*#*#0842#*#* Brightness and vibration test
*#*#2664#*#* Touchscreen test
*#*#232331#*#* Bluetooth test
*#*#7262626#*#* Field test
*#*#1472365#*#* GPS quick test
*#*#1575#*#* Full GPS test
*#*#0283#*#* Packet loopback test
*#*#0*#*#* LCD display test
*#*#0289#*#* Audio test
*#*#0588#*#* Proximity sensor test

Configuration codes

Code Function
*#9090# Diagnostics settings
*#301279# HSDPA/HSUPA settings
*#872564# USB logging settings

Developer codes

Code Function
*#9900# System dump mode
##778 (+green/call button) EPST menu
Manufacturer-specific codes kulingana jina la simu!

Samsung codes

Samsung codes
Code Function
*#0*# Access diagnostics
*#011# Network details and serving cell information
*#0228# Battery status
*#0283# Loopback Test menu
*#0808# USB Settings
*#1234# Software version/ Model details
*#2663# Firmware details (Advanced)
*#7353# Quick test menu
*#9090# Advanced debugging tools
*#9900# SysDump
*#2683662# Service mode (Advanced)
*#34971539# Camera firmware details

Xiaomi Codes

 
Code Function
*#*#64663#*#* Access test menu

Realme codes

 
Code Function
*#800# Feedback menu
*#888# Engineer mode – displays PCB number
*#6776# Software version

OnePlus codes

 
Code Function
*#66# Encrypted IMEI
*#888# Engineer mode – displays PCB number
*#1234# Software version
1+= (In stock calculator app) Displays ‘NEVER SETTLE’ on the calculator app
*#*#2947322243#*#* Wipes internal memory

Asus codes

Asus codes
Code Function
*#07# Regulatory labels
.12345+= (In calculator) Open engineering mode

Motorola

Code Function
*#*#2486#*#* Opens engineering mode
*#07# Shows regulatory information
##7764726 Hidden Motorola Droid menu

HTC

Code Function
*#*#3424#*#* HTC test program
##786# (Caution!) Phone reset menu
##3282# EPST menu
##3424# Diagnostic mode
##33284# Field test
##8626337# Launch Vocoder
*#*#4636#*#* HTC info menu

Sony codes

Sony codes
Code Function
*#*#73788423#*#* Access service menu
*#07# Certification details

Nokia codes

Nokia codes
Code Function
*#*#372733#*#* Open service menu (FQC Menu)

Other codes

Code Function
*#7780# (Caution!) Factory reset
*2767*3855# (Caution!) Full factory reset
*#*#7594#*#* Power off the phone
*#*#8351#*#* Activate dialer log mode
#*#8350#*#* Deactivate dialer log mode

Stay away au kuwa makini na hizi codes!

Think before using!

Code Function
*#*#7780#*#* (Caution! Risk of data loss and rendering phone useless) Factory data partition reset
*2767*3855# (Caution! Risk of data loss and rendering phone useless) Format device