TOYOTA COASTERs’ (full service & repair guidelines)

Hii, ina mwongozo wenye taarifa muhimu na maagizo yanayohitajika kwa kurekebisha haya magari ya COASTER na kuyarejesha katika utendaji wake wa kawaida. Kitabu hiki kina maelezo na eneo la vipengee, utendakazi, dharura, na njia mbadala za utendakazi zenye hatua za kiutaratibu.

Kuna michoro ya mitambo ya wayakwa kila, unaeza kutazma hii👇 vidoe yenye vidokezo kuhusu vilivyomo!

Vinginevyo shuka chini ya video hii ili moja kwa moja uweze kuingia kuitumia ata kwenye simu, bila kupakuwa au ata ukitaka upakuwe ukurasa utakazohitaji!

👉 BONYEZA HAPA  👈