Hii PDF inakuonesha wapi sensor, actuators, fuses, blaa blaa, zilipo! Unachuguzaje kukiwepo tatizo, mashine ikikupa OBD code unawezaje kuendelea kurebisha, aiiise ata hizo wiring za control boxi, na blaa blaa zingine! Ni PDF ata unaweza ku download kwenye simu๐ฒ au unaendelea kusomea hapa hapa! Ukitaka ECU pinouts za gari zingine bonyeza HAPA HAPA
ENGINE CONTROL EFI SYSTEM (3SZ-VE, K3-VE)
