Mfumo wa COMMON RAIL hutumiwa zaidi katika injini za kisasa za dizeli. Katika mfumo huu, kiasi cha mafuta sahihi hutolewa au kuachiliwa kwa injectors na shinikizo au pressure inalohitajika!
Mafuta yanavutwa kutoka kwa tanki na kuongezewa pressure zaidi kwenye pampu kupitia vichungi (fuel filters), na hutolewa kwa reli ya mafuta. Mafuta hutolewa ndani ya sindano kwa wingi sawa au sahihi!
Huu mfumo wa CRDI ina sehemu tofauti kama pampu, reli ya mafuta, sindano, n.k. tanki la mafuta limeunganishwa kwenye pampu ya shinikizo (preesure)! unaeza kuendelea kutazama hizi PDF!