AIRBAG

AIRBAG

Gari ikipata ajali au ikitetemeka kama imepata ajali hivi, as in like if U hit a pot hole, alafu taa ya AIRBAG inabaki inawaka bila kuzima, kumanisha lazima ubadili vifaa fulani! So huu uchawi unakuonesha namna ya kuzima hiyo taa bila kubadilisha hivyo vifaa (spare parts)!

Translate /Tafsir /Traduire