DPFs

Uchawi wa hiizi software ni sio kufuta tu code BUT kutoa kabisa kwa system ya gari, hizo blaa blaa za DPF (Diesel Particulate Filter), EGR (Exhaust Gas Recirulation), LAMBDA ambao ni Oxygen sensor au A/F sensors, ya kwamba kamwe gari kusumbuliwa tena! Sii unajuja usumbufu uliopo gari ikianza hizo blaa blaa kukosa nguvu, check engine light kuaka, nk, juu ya hiizi DPF blaa blaa๐Ÿค”?

So what You need ni uwezo tu wa kusoma hizo data za ECU, kiisha unazipitisha kwenye hiizi software zifanye uchawi, then unarudisha hizo data kwa ECU๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!
Ndiyo, tuchangieko๐Ÿป kiasi, ili nasi tuwe sisi๐Ÿฑโ€๐Ÿ‘ค