HEXDITwo

HEXDITwo

Tulijaribu kuelekezana kuhusu data ya kwenye IC/EEPROM/CHIP, as in, namna ya kusoma, edit, delete, copy, nk hizo EEPROM data! Kama bado hujapitia, na unataka kupata idea ya niaje hizo blaa blaa, then bonyeza hapa👉 www.5021.tips/ujanja/eepromwork 👈

Sasa unaeza kuwa huna mashine yeyote ya hizo EEPROM na kweli unataka kufanya mazoezi🤷‍♂️!  So what we have done, ni kuwekea hapa software inasoma hizo data, pamoja na mfano ya hizo EEPROM data ili ufanye mazoezi ku edit, delete, blaaa blaaa, you know?

Translate /Tafsir /Traduire