imof

imof

Hizi software ni zenye uchawi wa kutengeneza funguo mpya wa au kwa, gari iliopoteza funguo wake, au kuongeza funguo zingine for back up moja ikipotea, then na ukitaka kutoa huu usumbufu wa immobiliser ( a.k.a IMMO OFF) ili gari iendeshwe kwa funguo ya kawaida!

Gari zingine utahitaji tu diagnosis mashine ya kawaida, gari zingine mpaka kungoa au kucheza na data za EEPROM namna tuliokumbusha hapa www.5021.tips/ujanja/keyprogramming

Tumeweka tofauti tofauti za hizi software, maana unaeza kuta moja kuna aina ya gari inakosa, na ingine pia! So, zikiwa software tofauti tofauti pamoja, huwezikosa unaotaka👌

Translate /Tafsir /Traduire