PIN

PIN
  • Version
  • Download 236455625
  • File Size 1.6GB
  • Create Date March 3, 2022

Kwanza kabisa, tunadhania umejifunza au umekumbuka yafuatayo!

Namna, jinsi au ufanyaji kazi  IMMOBILISER SYSTEM wa magari!
Kama bado Bonyeza HAPA!

 

 


Tena, hiki kitabu nacho kinakupa mwongozo fulani au mwanga.
Kukipata ata kukisomea kwenye simu yako au computer,
bonyeza HAPA!

 

 

 

Kazi zingine utahitaji ku deal na blaa blaa ya FLASH au EEPROM data kuweza kupakuwa hiyo PIN utahitaji!  Ukitaka kupita kuhusu ujanja wa EEPROM works,
bonyeza HAPA!

 

Na tena ukitaka kujua hiyo chip au EEPROM ya kusoma data iko wapi!
Kuweka hii program ata kwenye simu au computer, bonyeza HAPA!

 

 

 

Au ukitaka kujua mashine yipi inaoweza kufanya kipi kwa kwenye gari fulani, unabonyeza HAPA!

 

 

Najua umekutana wakati unajaribu kafanya ECU au ufunguo (ECU au ama Key Programming) kwenye gari au pikipiki, unakwama kwasababu mashine inakuitisha PIN fulani!

 

 

 

Mashine inaeza kuwa hizi diagnosis za kawiada au ata mashine zenyewe za kufanya key programming nazo (zingine au nyingi nyigi) zinaulizanga PIN!

Sasa, tumekosanya uchawi wa namna ya kupata hizi PIN kwa kila aina ya gari!

Kama hutaki kuendelea kusoma hizi blaa blaa, shuka chini ya hii page uweze ku download ata kwenye simu!

Tumeweka au kuoneshana namna ya kufanya kwa kila! Unaeza kuta zingine unaingiza tu Chasis number ya hiyo gari na ukapata PIN ya hiyo funguo, zingine unaingiza tu PartNumber ya kifaa fulani, inaeza kuwa ya ECU au IMMO BOX au INSTRUMENT cluster, au anything!

Mfano:

KWenye NISSAN fulani inaeza kuta unahitaji hiyo 5 digit code imezungushwa kwa ki red box kwenye label
Inaeza kuwa kwenye Toyota, may be hiyo mashine uliyo nayo haiwezi kufanya uchawi wa PIN automatically, kwamba unahitaji kuingiza hiyo SEED NUMBER uweze ku caliculate hiyo PIN CODE kama hapa chini!Inaeza kuwa umekwama na VW/AUDI kumbe ujanja ni kuifungua na kusoma data kwenye EEPROM fulani kwenye instrument cluster amabapo code imejicha!Unaeza kuta gari zingine, funguo hijapotea, lakini imegoma tu kuasha hiyo gari na inaitisha PIN fulani, kumbe uchawi ni kufunguo tu hiyo ufunguo usome keyTAG na paaaaa....

Translate /Tafsir /Traduire