- Version
- Download 25643
- File Size 3.09 MB
- Create Date July 15, 2020
- BONYEZA HAPA KU DOWNLOAD
Mara nyingi unakutana file za iso🙄, zile file zimeka kama CD/DVD hiivi🤔, ukijaribu kuifungua inakwambia "this ISO file can't be blaa blaa"😆🤣😂 Sii unajua hizo file kama kwenye hizi picha👇?
Fata haya maelekezo kwenye hii video kuhusu namna ya ku install hii software ili uweze kufungua au kuchoma hata kwenye CD ukitaka🤷🏼♂️