KEYDPFEGR

KEYDPFEGR

Assuming kwamba unajua ujanja wa EEPROM, kusoma, ku save data, nk, ukitaka bonyeza hapa https://youtu.be/TGbrQwNzlDY tuliekezana! Anyway, baada ya kutambua na kusoma data kutoka hiyo EEPROM ya funguo ama DPF ama whatever, hiyo data unaiingiza tu kwa hii program na ndani ya sekunde 0 sifuri, program inafanya uchawi kisha kurudishia data utakapoingiza /kurudisha/kunadika kwa hiyo EEPROM! Hii program inapatikana kule kwetu🤐 ambao sitataja hapa juu ya blaa blaa za KOpiRWAyiTE! Lakini unajua hamsini irishinamoja!

Translate /Tafsir /Traduire