pntmx

pntmx

Kwa kutumia tu msimbo (color code) ya rangi ya gari, au maelezo kama gari aina gani, ya mwaka gani, nk, ujanja huu utasaidia kujua ni rangi zipi za msingi za kuchanganya, na kwa kipimo kipi (mixing ratio), ili uweze kupata hiyo rangi sahihi, na ndani!
Namna hii video hii imekuonyesha, mambo mengi unaweza kufanya na hii App ili uboreshe kazi yako iwe ya kitaalamu na bora zaidi!

Translate /Tafsir /Traduire