STARfinder

STARfinder

BENZ kuna vi code code wanaotumia vya kumanisha kitu gani kwenye gari🤷🏼‍♂️! Mfano, kumanisha fuel pump wanweza kuweka code FP17/QU so kama hujui FP17/QU inamanisha kitu gani na kiko wapi🙄, unakwamma tu!
So ndo maana tumekuwekea hii softwae ikusaidie niaje👌

Translate /Tafsir /Traduire