sys

sys

Ukitaka kujua details za kompyuta, ina windows gani, na hiyo windows iliopo na 10 bit au 32bit au 50bit au 64bit au 1000000bit😂🤣😆😁 au....you know🤷‍♂️? Njia fasta fasta una right click kwa MY COMPUTER alafu unachagua properties namna hii
Ndo ikifungue namna hii ueze kuona details za kompyuta

Au ukiwa mwenye kihere here RUN uweke command ya DXDIAG🤷‍♂️
Au kama bado kama sisi hatuna blaa blaa, DOWNLOAD hiii hapa hapa uweke hii kidude kwenye computer, kiisha ukibonyeze! Kikikuletea blaa blaa bonyeza tu OK

Utaona page namna hii kama chini, upige picha umtumie yeyote atake kuuliza details za kompyuta yako!

Translate /Tafsir /Traduire