TIS

TIS

Namana tumeelekezana katika hii video, cable yeyote inaeza kufanya hizo kazi kufanya diagnosis ya kitaalamu👩🏼‍🔧 kwenye gari za TOYOTA! Download hii software ili muradi umeweza kubadili cable kwenye PINOUT ya protocol za TOYOTA! Ukishindwa piga picha ili tuelekezane namna ya cha kufanya👌!

Translate /Tafsir /Traduire