AUTOMOTIVE COMPUTERIZED CONTROL SYSTEM (intro)

Kama unavyotambua, magari ya zamani hayakuwa magumu, yaani, mifumo ya wiring ilikuwa rahisi, hayakuwa na hizo bla blaa ya sensor, ECU, nk!
Sasa, magari ya siku hizi ni vinginevyo, kuna gadgets nyingi, gari zina usalama zaidi, spidi zinaeza kimbia zaidi kwa kutumia mafuta kidogo, nk!
Ili kuweza kufikia huo ubora, usalama, faraja, spidi, nk, ilibidi waanzishe au kuongeza vifaa hivyo katika kila mfumo husika, Enigine, Transmission, Wheels, nk, na hivi ndivyo tutakavyokuwa tunajifunza, jinsi gani inafanya kazi, jinsi inavyotengenezwa, inafanya kazi wapi, system au mfumo upi inapofanya kazi, n.k, bila kusahau jinsi ya kutatua au kurekebisha ikiwa kuna shida!

Ukibonyeza HAPA kuna ile niaje, maana ya CONTROL SYSTEM, yaaani, mfumo ambao matokeo yanategemea maingizo! X + 5 = Y

(5 haibadiriki ni control, lakini X au na Y inaeza kuwa chechote)!
X ikiwa 2, ina maana Y itakuwa 7
2 + 5 = 7
Ina maana ukitaka matokeo yawe tu 7, lazima X iingie ikiwa 2, au na vinginevyo! Ukitaka matokeo au Y iwe 9, hapo lazima X iongezeke kuwa 4!
Neenda HAPA uone niaje, sio lazima, sema tu ni bora ata ukiona pich kama hii ya ECU system, italeta maana kwako!

 


Alafu,
Kwa mfano, kwenye mfumo wa ingini, ili kuongeza nguvu, bila gari kutumisa mafuta mengi, pamoja na bila kutoa moshi kuharibu mazingira🤔, wataalamu waligundua namna ya kuchunguza (CONTROL) mafuta na hewa inaoingia kwenye engine…pamoja na kuchunguza huo moshi unaotoka kwa engine🙄 ili husiharibu mazingira nje ya gari.


So waliweka sensor za kuchunguza na kupeleka umbea kwenye ECU/control box (computer), alafu ndo computer iwaambie actuators kazi ya kufanya, kulingana🤷🏼‍♂️!

UKITAKA UNAEZA KUTAZAMA HIII VIDEO


MIFUMO YOOOTE TULIEKEZANA KWENYE HII PAGE

Translate /Tafsir /Traduire