ECU PINOUTS

Unajua, this is the most incomplete list, yaani haaaaaishi, juu kila wakati tunaweka mchoro mpya wa ECU, iwe ya Engine, ABS, Suspension, Airbag, nk! Tunaweka za kila gari, kwa namna PDF au Picha, ina maana hata kwenye simu inafunguka fasta fasta!

Kwa mfano, hapa chini👇ni PDF ya mchoro wa ECU ya Toyota Echo blaaa blaaa, so unabonyeza tu kwa jina na inafunguka🤷‍♂️, hebu bonyeza uone!

👉pdf TOYOTA ECHO 1.3L (2NZ-FE Engine) ’04 Engine & Transmission Management System👈 Be careful, maana PDF isipofungua hapo, inajidownload automatically, ina maana ukienda kwa downloads kwenye simu, utaono hiyo PDF! So kuwa maakini🐱‍👤!

Zingina zinafunguka kama picha, mfano bonyeza hii ya Nissan uone niaje
👉Picha NISSAN GTR ECU engine  👈

Sasa, hapa chini ukichagua aina ya gari itakupeleka kuliopo ECU pinouts, then uchague unaotaka efunguke kama picha au pdf, just🤷‍♂️

NOTE📢 Hizi ni ECU pinouts tu, ukitaka ECU CRIRCUIT BOARD kujua uchawi wa componets ndani mwa ECU kama diodes, capacitor, IC, blaa blaa, bonyeza HAPA

ONYO: kabla hujabonyeza kwenda kwenye aina ya gari, hakikisha umemalizana SUZAN, chupa zake🍻 mbili tu! Asante🙏!
Na pia ukikosa ECU pinout yeyote mujulishe SUZAN akutumie fasta fasta, akiwa offline bonyeza hapa utume ujumbe!


TOYOTA


NISSAN


SUZUKI


MERCEDES BENZ


BMW


MAZDA


FORD


MITSUBISHI


VOLVO


SCANIA


TATA


LANDROVER


ISUZU


VW


AUDI


TESLA


SUBARU


PORSCHE


LEXUS


KIA


JEEP


JAGUAR


HYUNDAI


FIAT


HONDA


GREAT WALL


BYD


FAW


FOTON


JMC


RENAULT


MAN


OPEL


DAF


UD


HINO


FUSO


CATTERPLIAR


SANG YONG