EEPROM work (kusoma, kubadili, kuandika data)

Kuna kazi nyingi unaweza kufanya kwa kujua kuchezea data inakuanga humu kwenye chip au EEPROM (Electronically Erasable Programmable Read Only Memory)!
Sasa kwenye hii video tulikumbushana au kuoneshana kuhusu data inakuanga humu, inakaje? unahisomaje? Unahielewaje?🤷🏼‍♂️ hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk!
Video ni ndefu na kuna maneno mengi🙄  na ukitaka kufanya practica tumeweka hapa bonyeza HAPA unaeza kuwa huna mashine yeyote ya hizo EEPROM na kweli unataka kufanya mazoezi🤷‍♂️!  So what we have done, ni kuwekea software inasoma hizo data, pamoja na mfano ya hizo EEPROM data ili ufanye mazoezi ku edit, delete, blaaa blaaa, you know?