GOOGLE (herufi)

Hakuna tofauti katika jinsi ‘Serach Engine’, kama Google, Bing, au DuckDuckGo, nk, zinavyozingatia herufi kubwa au ndogo wakati wa kuorodhesha/kurudishsa matokeo.
Hiizi bla blaa zinatumia uchawi wa “synching”, yaaani, kubadilisha maneno yote kuwa herufi ndogo wakati wanaelekeza ukurasa. Hii ina maana kwamba haijalishi umeingiza herufi kubwa au ndogo, Hapa Ujanja Tu!
Kwa hivyo, hakuna sababu ya kuwa na wasiwasi kuhusu jinsi unavyoandika maneno yako kwa herufi kubwa katika kurasa za tovuti!
Unaeza kutazma hii video, ukitaka niaje!

Translate /Tafsir /Traduire