GOOGLE (kupata matokeo yenye maneno halisi umeingiza)

Ikiwa unataka matokeo yawe na sentensi, maneno yaliyopangwa kwa mpangilio sawa na jinsi umeaandika, wakati unaandika kwenye ‘search engine’, hayo maneno yako yaweke kwenye hizi alama za nukuu namna hii video tumeoneshana!
HAPA UJANJA tu!