TOYOTA HIACE (Electrical wiring diagram system circuits)

Kama kawaida, au jinsi zinakuanga, hapa unaoneshwa uchawi wooooote wa umeme wa hiizi gari! Utaona michoro ya wire, namna kupima au kuchungunza, kutatuta matatizo ya umeme, a.k.a electrical troubleshooting tips!  Unaeza kusomea hapa, au ukitaka ku download bonyeza kwenye document uanotaka!  Alafu chini kaabisa ndo kuna OVERALL ELECTRICAL WIRING DIAGRAM ukikosa ya specific system unaotafuta!