LANDCRUISER200 (maelekezo ufundi👨‍🔧)

Obviously, sii unajua kuna maelekezo jinsi ya kufungua, kufunga, kurekebisha, kufanya hiki na kile…pamoja na michoro ya wiring, picha zote😎!

Hebu tazama hii video uone niaje🙄, kiisha shuka chini uweze kui download kwenye kompyuta, lakini ukitaka kutumia ata kwa simu📲 bila ku download NENDA/bonyeza HAPA otherwise

…jinsi tulionesha kwenye hii video👇chini, namna kutumia kwenye computer ni namna ile ile ata kwenye simu, but on phone u don’t download!