NISSAN NAVARA(maelekezo ya ufundi)

Sii unajua kuna maelekezo jinsi ya kufungua, kufunga, kurekebisha, ku fanya hiki na kile…pamoja na michoro ya wiring, picha zote๐Ÿ˜Ž! Iliaandaliwa na wataalamu wenyewe๐Ÿ‘Œ, so…..?

Hebu tazama hii video uone niaje๐Ÿ™„, kiisha shuka chini uweze kui download!

 


ONYO๐Ÿ“ข Ukimaliza ku download, hii manual ni ISO (kama CD hiivi) so unahitaji software hii HAPA ya kufungua file za ISO.