Fata au utafata maelekezo ya kwenye hii video ili uweze kutumisa vizuri!
Uchawi ni kwamba unaoneshwa EEPROM a.k.a chip/ic alafu unasoma hizo data, kisha unaingiza kwa hiizi ma software na kupewa namana ya kuandika au kubadili hizo kilomita unazotaka๐คทโโ๏ธ!
unaezakuta program moja ikifanya kwa gari fulani, inashidwa baadhi za magari mengine, so tumeweka program tofauti tofauti pamoja ya kwamba ukikosa moja, nyingine inakuvusha…