If you know what’s done, save time BONYEZA HAPA uweze ku calculate hiyo code๐คทโโ๏ธ, sii unajua niaje๐๐!
otherwise soma haya maelekezo๐
๐
Ukitaka kufanya key programming ama ECU coding๐, kuna badhi kubwa ya mashine zenye uwezo๐! Sasa sijui uko na mashine ipi, lakini wewe tafuta uchawi wako wote uweze kuingia kwenye menu ya programming/coding kwa PCM (Powertrain Control Module) au/na zile IPC ECUs kama ya PATS, BODY ECU, nk๐คท๐ผโโ๏ธ!
Mashine yenyewe itakutolea zile details za OUTCODE namna hii๐like ukiwa unafanya Ford, kwamfano tu๐!Sasa, baada ya kupata hizi details lazima umutumie sijui wakala wa hizo gari au sijui mtaalamu fulani๐ฉ๐ผโ๐งakupe code fulani ndo uweze ku programm hiyo funguo ama ECU! Sasa ujanja tunapatiana hapa ni namna ya kupata what we call INCODE kwa kuingiza hiyo OUTCODE hapo kwenye picha ya juu๐ (ndani ya boxi rangi nyekundu), kwasababu ukiendelea utakuta sehemu inakuitisha INCODE kama kwenye hii picha ya chini๐
Kupata hiyo INCODE, utabonyeza๐ hapa hapa ๐na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!
Ikifunguka itakuwa namna hiiKupata hiyo INCODE, utabonyeza๐ hapa hapa ๐na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!
Hebu fanya mazoezi kwa hiizi OUTCODE hapa chini uone niaje๐ค!
Ford fiesta 1.4 TDCI
Outcode:0000 EF440F 0000
Error Control:43168
OUTCODE = 4CBB
โโโโโโโโโโโ-
Mazda 3
Outcode: 0040 โ 058215 โ 000000
INCODE = 9175
โโโโโโโโโโโ
OUT CODE: 0044-151E3F D60E19
ERRORCONTROL: 4X420
Hapa lazima ufanye mara mbili
outcode single: 151E3F = 154F
outcome dual: D60E19 = E768
your incode is: 154FE768
โโโโโโโโโโโโ
Jaguar XType 2003
key programming outcode 05975543
income is 9FAD
Kupata hiyo INCODE, utabonyeza๐ hapa hapa ๐na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!