Hapa tumeweka taka taka yoooote, as in tumeweka kila software ya kufungua almost kila aina ya radios!
Uchawi ni, either kuingiza tu SERIAL NUMBER, kiisha unapata unlock code🤷♂️!
Ama, kutoa ili usome na kubadili data iliomo kwenye IC/EEPROM fulani kwa motherboard ya hiyo radio namna tulioelekezana kwa video au kwa PDF ilioko kwa hizo software!
Hizi video ni mfano ya namna huo uchawi unavyotumika kufanya kazi😎 then after download below the video!