Jinsi unafahamu🤔, ukitoa battery ya gari au ukichokonowa chokonawa radios, itakuuliza neno la siri (password)🤷🏼♂️! SO kama hauna hii password, bhasi hiyo radio itakata kufanya kazi. Sasa hapa tunakupa ujanja wa namna kupata hiyo password namna tunaelezana kwenye hii video👇, kiisha ushuke chini uweze ku download hii software👩🏼🔧!
Serial number mara nyigi unakuta nyuma ya hii radio baada ya kuifungua😎