reset STEERING ANGLE SENSOR faults

Mfumo wa STEERING ANGLE SENSOR  unaunganisha mifumo mingine ya gari!
Kunaweza kuwa na sababu nyingi sana zinazosababisha mfumo huu kuripotiwa kuwa mbovu, ikiwa ni pamoja na wheel alighnment mbaya, au kubadilisha kipengele, yaani spare part fulani bila kukisajili kwenye kompyuta ECU ya gari, au hata kuisha muda wake na kuhitaji kipya zaidi!
Hivi ndivyo unavyoweza kuponya tatizo hili, ikiwa unahitaji data ili kuiweka upya, nenda chini ya video ili kupakua!

DOWNLOAD👇👇👇

👆👆👆👆👆👆👆