HEAVY TRUCKS’ SPEED RETARDING SYSTEMS

Malori 🚚🚒🚍makubwa, kwa kutaka kupuguza mwendo, zikitegemea mifumo ya breki ya kawaidai, kunasababisha msuguano, ambayo nayo kusababisha joto.
Alafu hii 🔥joto nyingi, kama vile lori kubwa linapojaribu kupunguza kasi, kwa mteremko au popote, linaweza kusababisha breki kupata joto kupita kiasi na kushindwa.
Ndio maana wakatengeneza mifumo hii kusaidia lori kupunguza mwendo kwa kutumia nguvu ya injini na au transmission!
Hii Video hapa 👇👇chini inaelekeza zaidi!