Tag: Diesel Systems
Au, hii PDF ikichelewa kufunguka, bonyeza hapa GOOGLE DRIVE fasta fasta
Nguvu za ule moshi unaotoka kwa engine unatumika kuzungusha aina ya kama pampu fulani hivi, na wakati wakuzunguka hii pump inanyonya au kuvuta hewa kutoka nje ya gari ili kuongeza kiasi cha hewa engine inahitaji kufanya kazi vizuri namna tulijaribu kueleza humu! Na pia kuna hizo pressure sensors, temperature sensor, nk🤷🏼♂️ !
TURBO SYSTEM
TURBO COOLER SYSTEM
Wakati unafanya diagnosis kwenye magari za BENZ yeyote, ndogo na kubwa lorry kama Actross, ukitaka kufanya yale mambo advanced kama key programming, ECU blaa blaa, kushusha milleage, etc, na unaitiishwa password namna hii👇👇
Like ukitaka kufanya ECU programming
Au ukitaka kufanya zileSo baada ya kuweka password ndo inafunguka namna hiii👇Infact ukitaka kuona zaidi au namna ya kutumisa hii software uweze kupata hizo password, watch this video then download hapo chini👇
DOWNLOAD HAPA👇
BENZ hack
👆👆👆👆👆👆👆