How To Read, Use Electrical Wiring Diagrams

Kwa sababu kuna taarifa nyingi, zinazoonyesha na kuelezea, kila kitu kwenye mchoro wa wiring🤔!

Ikiwa utajifunza ujanja huu, inaweza kuchukua sekunde sifuri kuelewa mchoro wa waya🤷‍♂️!

HAPA UJANJA tu!

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [1.81 MB]


Wiring Harness Repair Instructions (How-TO)

Click  Here


Kitabu cha ufundi umeme (Advanced Electrical Installation Work)

Mwenyewe unaona au utaona wingi wa picha za rangi kamili na michoro kuelezea kila kuhumu blaa blaa za umeme!
Kuna ufafanuzi ulioangaziwa wa istilahi za kiufundi kote kwa marejeleo ya haraka na rahisi🤷‍♀️!

HAPA UJANJA tu!

Electrical Tips

Hapa tunajifunza na au kukumbuka chochote kuhusu umeme, ambacho huja bila mpangilio!

HAPA UJANJA tu!

RESISTORS

Resistors, yaaani Rizisita, zinazuia mtiririko wa umeme! Uzuiaji huu unaweza kuja na manufaa katika hali nyingi, especially katika vifaa vya ...


GROUND, NEUTRAL, EARTH, connections explained

Hata kama EARTH na GROUND ni kama kitu kimoja, lakini ni tofauti! Kwa kingereza ya Merikani wanasema GROUND, alafu kwa Kingereza ya Ulaya(Europe) ni EARTH, so sometimes maana inakuwa confused!  So is why we tried to explain the difference in this video

Translate /Tafsir /Traduire