NISSAN MURANO Diagnosis, Service, Repair Workshop Manual

This software manual covers absolutely every years’ in between! Every possible repair procedure is covered.
This is the SAME comprehensive manual dealers and mechanics use.
It’s simple, straightforward, includes authorized or recommendable factory procedures, and best of all, you can do it yourself!

As the video demonstrates, this manual contains vast library of technical and service repair information illustrated details for the Diagnosis, Repair, service technician.
It would be of benefit to any all NISSAN owners even if only to gain some insight into the service / problems / issues of the car prior to presenting their car to service garage!

๐Ÿ‘‡DOWNLOAD THIS MANUAL

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

KEY PROGRAMMING TOOLS

This includes downloads of useful softwares and gateways to where which when why what hardware could be useful do key programming!
If you want go get some basics on key programming, bonyeza HAPA!

Sorry, we decided pack the whole everything in this package!

You may click HERE to download


TOYOTA TACOMA (full diagnosis,service & repair manuals

This a Factory issued workshop manual covering all aspects of vehicle servicing, repair and restoration. Covers all topics such as chassis, brakes, suspension, engine, transmission, differentials, interior components and electrical wiring diagram!

Click here to access the manual

Provides step-by-step instructions on how troubleshoot any problem, including information based on a complete disassembly of the vehicle. This hands-on experience provides You with specific and detailed instructions for performing everything from basic maintenance and troubleshooting to a complete engine overhaul

NISSAN XTERA (full service/diagnosis/repair manual)

ENGINE-MECHANICAL

NISSAN PATROL GR (Y61) Service, Diagnosis & Repair manuals

This is COMPLETE official OEM full workshop service repair manual containing easy-to-read text sections with top quality diagrams and instructions includes:

  1. Detailed sub-steps expand on repair procedure information,
  2. Notes cautions and warnings throughout each chapter pinpoint critical information,
  3. Numbered instructions guide you through every repair procedure step by step,
  4. Bold figure number help you quickly match illustrations with instructions,
  5. Detailed illustrations, drawings and photos guide you through every procedure,
  6. Enlarged inset helps you identify and examine parts in detail,
  7. Numbered table of contents is easy to use so that you can find the information you need it fastly,
  8. Troubleshooting and electrical service procedures are combined with detailed wiring diagrams for ease of use and to makes it easy to repair problems with your carโ€™s electrical system!

You may watch this video showing you the contents, after go below to download!

๐Ÿ‘‡DOWNLOAD๐Ÿ‘‡


NISSAN NAVARA (D22series) full service,diagnosis,repair manual

This a very comprehensive Full workshop service manual, printable at any time!

Very easy to read and well set out
All petrol engines covered
All diesel engines covered

As the video below previews, all systems have been covered including,
Lubrication and Maintenance
Suspension
Differential & Driveline
Vehicle body
Brakes
Cooling
Audio/Video
Chime/Buzzer
Electronic Control Modules
Engine Systems
Heated Systems
Horn
Ignition Control
Instrument Cluster
Lamps
brake Systems
Power Systems &ย 
Restraints
Speed Control
Vehicle Theft Security
Wipers/Washers
Navigation/Telecommunication
Wiring
Engine
Exhaust System
Frame & Bumpers
Fuel System
Steering
Transmission
Tires/Wheels
Body
Heating & Air Conditioning
Emission Control
Component


๐Ÿ‘‡DOWNLOAD THE MANUAL ๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

NISSAN TERRANO (R20 series) Complete Service, Diagnosis, Repairs’ manual

This HIGH-QUALITY OEM manual is 100% COMPLETE and INTACT, no MISSING/CORRUPT pages/sections to freak you out! ย This manual is exactly as described. This is the same type of service manual dealers use when doing any repairs.

This manual has detailed illustrations as well as step by step instructions. All pages are clearly indexed and printable, so run off what you need and take it with you into the garage or workshop.
This manual is your number one source for diagnosis, repair and service information. They are specifically written for the do-it-yourself-er as well as the experienced mechanic.

All pages are printable. As the video below shows, this COMPLETE official full workshop service repair manual includes:

  • Detailed sub-steps expand on repair procedure information
  • Notes,ย cautionsย and warnings throughout each chapter pinpoint critical information.
  • Numbered instructions guide you through every repair procedure step by step.
  • Bold figure number help you quickly match illustrations with instructions.
  • Detailed illustrations, drawings and photos guide you through every procedure.
  • Enlarged inset helps you identify and examine parts in detail.
  • Numbered table of contentsย easyย to use so that you can find the information you need it fastly.
  • This manual also makes it easy to diagnose and repair problems with your machines electrical system.
  • Troubleshooting and electrical service procedures are combined with detailed wiring diagrams for ease of use. 

    ๐Ÿ‘‡DOWNLOAD๐Ÿ‘‡


How to decode details/meaning of a VIN (Vehicle Identification Number)

A vehicle identification number (VIN) is a unique code assigned to every motor vehicle when it’s manufactured.ย  You can decode a VIN to find out more about a car or truck or ….

On most passenger cars, you may find the VIN number on the front of the dashboard on the driver’s side. The best way to see it is to look through the windshield from outside the car. You may also find the VIN number on the driver’s side door pillar. Open the door and look around the area where the door latches to the car. A motorcycle’s VIN is usually on the steering neck below the handlebars, although sometimes it’s on the motor or on the frame near the motor. A semitrailer’s VIN is located on the front part of the semitrailer on the left side.

If you can’t find the VIN number on the vehicle, you should also be able to locate it on it’s documents.

Wondering what all the characters in your vehicle’s VIN stand for?

How to decode a Vehicle Identification (VIN) number
As this video tried show, there many platforms that you just enter the vehicle’s 17-character Vehicle Identification Number (VIN) to get details about a vehicle, ย This number contains vital information about the vehicle, such as its manufacturer, year of production, the plant it was produced in, type of engine, model and more…

simple SHOP MANAGEMENT SOFTWARE

This simple, very productive and easy-to-use computer denuit keeps a database of your customers, suppliers, stock, and makes quotations, invoices & receipts!
As shown in this video, at the end of the day, week, month, year or whenever time, you can get a genral report of every in your business!

If this denuit can be ofany use to for you, go below the video and download!

๐Ÿ‘‡DOWNLOAD HERE๐Ÿ‘‡



LANDROVER DIAGNOSIS & REPAIR MANUALS

This list is very incomplete, tunaendelea kuweka๐Ÿคž! So, ukikosa uliotaka, shuka chini ya hii page utujulishe tukutumie fasta fasta, au zungumza/chat withย SUZANย if She is online!ย HAPA UJANJA tu๐Ÿ˜Ž!


selected LANDROVER Complete Service/Repair manuals

This is complete factory service repair workshop manual has easy-to-read text sections with top quality diagrams and instructions.

They are specifically written for the do-it-yourselfer as well as the experienced mechanic. With step by step instruction & highly detailed exploded pictures & diagrams to show you how to complete the required job correctly & efficiently .

Provides step-by-step instructions based on the complete dis-assembly of any system or parts. Yes, it is this level of detail, along with hundreds of photos and illustrations, that guide You through each service and repair procedure.

This Factory Service Manual generally covers General Information, Service Information, Suspension, Driveline, Brakes, Steering, Engine Mechanical, Cooling, Starting, Ignition, Emission Controls, Engine Controls, Transmission, Transaxle, Exhaust System, Fuel System, HVAC, Instrumentation & Warning Systems, Battery & Charging System, Audio Systems, Lighting, Electrical, Body Interior – Exterior and more…
This video previews of the contents, covering RangeRover, Discovery, Freelander, Defender

DOWNLOAD isย  here๐Ÿ‘‡

THIS IS BETTER๐Ÿ‘‡

Click HERE or photo above๐Ÿ‘†

programu za XTOOL

Inaeza kuwa umepoteza memory card ya mashine yako ya XTOOL, au unataka ku update, au whatever๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ! Tafta namna unaenda tu kwa options, kiisha unachagua ABOUT upate serial number na password, namna๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Ukipata serial number na password, download hii program uweke hizi


Au tembelea www.xtooltech.com uone niaje kukiwa usumbufu!

SUZUKI diagnosis & Repair manuals

This list is very incomplete, tunaendelea kuweka๐Ÿคž! So, in case ukikosa uliotaka, shuka chini ya hii page utujulishe tukutumie fasta fasta, au zungumza/chat withย SUZANย if She is online!ย HAPA UJANJA tu๐Ÿ˜Ž!



Toyota Tacoma Repair & Wiring Manuals (2005 to 2006 )

This is COMPLETE official OEM full workshop service repair manual containing easy-to-read text sections with top quality diagrams and instructions includes:

Detailed sub-steps expand on repair procedure information,

Notes cautions and warnings throughout each chapter pinpoint critical information,

Numbered instructions guide you through every repair procedure step by step,

Bold figure number help you quickly match illustrations with instructions,

Detailed illustrations, drawings and photos guide you through every procedure,

Enlarged inset helps you identify and examine parts in detail,

Numbered table of contents is easy to use so that you can find the information you need it fastly,

Troubleshooting and electrical service procedures are combined with detailed wiring diagrams for ease of use and to makes it easy to repair problems with your car’s electrical system!

You may watch this video showing you the contents, after go below to download!
๐Ÿ‘‡

DOWNLOAD
๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†


AUTO DIAGNOSIS special PROCEDURES & SOFTWARES

Unaeza kuwa una hiyo diagnosis mashine, but kunachangamoto unapata๐Ÿค”! May be matumizi ya namna kufanya utundu fulani wa kitaalamu, auย  inaeza kuwa mashine ina tatizo imekushinda kurekebisha, au, meeeeeen, could be any problem๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ! So tunaweka hapa kila taka taka tunakutanayo zinasumbua watumizi mbali mbali๐Ÿ™„!

Tunawekanga namna ya kupata software za mashine, au ukitaka ku update au downdate au kuharibu mashine tunakuonesha unafanyaje๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ! Ukitaka password za ku login mtandaoni (cloud diagnosis) zote tunawezasaidiana๐Ÿ‘Œ!



 

 

 

EEPROM WORK practice

Tulijaribu kuelekezana kuhusu data ya kwenye IC/EEPROM/CHIP, as in, namna ya kusoma, edit, delete, copy, nk hizo EEPROM data! Kama bado hujapitia, na unataka kupata idea ya niaje hizo blaa blaa, then bonyeza hapa๐Ÿ‘‰ www.5021.tips/ujanja/eepromwork ๐Ÿ‘ˆ

Sasa unaeza kuwa huna mashine yeyote ya hizo EEPROM na kweli unataka kufanya mazoezi๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!ย  So what we have done, ni kuwekea hapa software inasoma hizo data, pamoja na mfano ya hizo EEPROM data ili ufanye mazoezi ku edit, delete, blaaa blaaa, you know?


SOFTWARE YA KWANZA na maelekezo ya matumizi kwenye hii video kiisha download hapo chini ya hii video


SOFTWARE INGINE na maelekezo ya matumizi kwenye hii video kiisha download hapo chini ya hii video


samples of EEPROM data


Then ukitaka ku compare data, use this tool


Electronic Parts Catalog (EPC)Toyota

Unaeza kuwa mwenye gari la toyota, au fundi au may be muuza speya๐Ÿค”, sasa umbea ni kwamba kwenye kiwanda cha Toyota sio kila gari linalotengenezwa lazima watumie vifaa mpya! Meeeen, kitu namanisha ni kwamba wanachanganya parts, as in, unaezakuta parts ziliopo kwenye Landcruiser ndo zile zile ziliotumika kwenye Corolla! Wewe ukitafuta speya, mfano la landcruiser, unaenda tu www.toyodiy.com chagua parts reference, select your car, then unaingiza chasis number uchunguze gari gani linalofanana speya hii ya Landcruiser, unaezakuta GX100, au Corona au iPsum au gari lolote la kiwango cha chini, ina maana ukienda kwenye duka ulizia speya la may be corona, na sio Landcruiser ili muuza speya asikugonge bei kubwa kulingana aina la gari๐Ÿ™„!ย  Kwa maelekezo ya ziada, au kuona niaje, tazama hii video๐Ÿ‘‡

How to UNLOCK FORD RADIO’s

Simple, reba gusa kuri serial number, hanyuma ukoreshe iyi software kugirango ubare kode yo gufungura radio uko iyi video ikwereka!

Nyuma yo kumanuka munsi yiyi๐Ÿ‘‡video kugirango ufate iyi software!

Infact, ikiwa unataka kupata hii unlock code kwa urahisi bila usubufu wa sijui mpaka uende kwa kompyuta au niaje, yaani ata kwenye simu popote ulipo wakati wowote, bonyeza HAPA! Otherwise nenda chini ya hii video uweze kupakua hii program!


Splitting a big file into smaller parts

Inawezekana unataka kutuma faili kubwa lakini, juu ya chechote kile๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ, unashindwa, kwa sababu faili hiyo ina saizi kubwa๐Ÿค”! Kwa hivyo kutumia uchawi huu unaweza kutuma au ku anything, kushughulika na faili kubwa! Hapa ujanja tu๐Ÿ‘จโ€๐ŸŽ“!

Liwe faili lelote linawezekana, muziki, program, video, vitabu, yaaaani chechote!

Ukitaka hii software unadownload softwae ya 4 kwenye hii list hapa AU unaenda tu hapa
maelekezo ya kila yapo kwenye hii video

SUZUKI GRAND VITARAโ€™s (Service/Repair Manuals)

This service manual iko kwa lugha ya English, and it has been prepared to provide SUZUKI service personnel with the necessary information and data for the correct maintenance and repair!

This manual includes the procedures for diagnosis, maintenance, disassembling, reassembling, inspection and adjustment of components and diagnostics for guidance of experienced mechanics.

HOW TO RESET CHANGE ENGINE OIL SOON WARNING

Hizi gari za siku hizi zina uchawi wa kumbusha kufanya service ya gari muda ukifika! So ukimaliza kufanya service lazima au bora uzime hiyo taa, so hizi procedures ziweza kusaidiya!


LANDROVER ECU pinouts

Kama tayari ushatoa chupa๐Ÿป zetu bonyeza๐Ÿ‘‰ kuLogin (kuingia)๐Ÿ‘ˆ OTHERWISE kutujulisha namna au ngapi au wapi tutatizipata๐Ÿ‘‰ bonyeza hapa hapa๐Ÿ‘ˆ

KEYPROGRAMMING, REMOTES & SERVICE INDICATORS instructions

Gusa twasuzumye (scanned) iki gitabo kugirango kibe PDF๐Ÿ“ฒ, ikora no kuri terefone nto!

HAPA UJANJA tu!
password๐Ÿ‘‰ย  njagalabili

Igitabo kirakwigisha ubuhanga butandukanye kubyerekeye urufunguzo!

Videwo๐Ÿ‘‡ yometseho irakwereka ibirimo, ukeka ko izagufasha!
Jya munsi๐Ÿ‘‡ya videwo kugirango ukuremo!
password๐Ÿ‘‰ย  njagalabili

password๐Ÿ‘‰ย  njagalabili

๐Ÿ‘‡DOWNLOAD๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†
password๐Ÿ‘‰ย  njagalabili

Kupata COMPUTER DETAILS

Ukitaka kujua details za kompyuta, ina windows gani, na hiyo windows iliopo na 10 bit au 32bit au 50bit au 64bit au 1000000bit๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜ au….you know๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ? Njia fasta fasta una right click kwa MY COMPUTER alafu unachagua properties namna hii
Ndo ikifungue namna hii ueze kuona details za kompyuta

Au ukiwa mwenye kihere here RUN uweke command ya DXDIAG๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ
Au kama bado kama sisi hatuna blaa blaa, BONYEZA HAPA uweke hii kidude kwenye computer, kiisha ukibonyeze! Kikikuletea blaa blaa bonyeza tu OK

Utaona page namna hii kama chini, upige picha umtumie yeyote atake kuuliza details za kompyuta yako!

NissanENGINE YD25DDTi Control System(wiring, sensors, computers, etc)

Hizi engine za nissan YD25DDTi unazikuta kwenye, akina NAVARA, PATHFINDER, MURANO, URVAN, nk! Sasa, kwenye hiki kitabu kuna blaa blaa zote za wiring, pamoja na maelekezo ya OBD fault codes!

Hii PDF ikichelewa kufunguka bonyeza ecYD25DDTiย  auย  hapa usome au download moja kwa moja!

NISSAN GTRs’ SERVICE REPAIR MANUAL

This electronic service manual (ESM) is intended for serve, repair and troubleshoot Nissan GTR, Model R35 Series 2008-2016MY.
Service manual contains the detailed and full description of repair and service procedures, electric schemes, the moments of inhalings, process of assembly and disassembly of the engine and other units and units, body sizes for an extract of a body, detailed repair transmission automatic and manual, repair of coupling, steering management, the conditioner, the necessary special tool, and as other information about Nissan GT-R – R35.


OBD FAULT CODE DESCRIPTION & REPAIR CHARTS

Hiki kitabu kinajaribu kufafanunlia maana ya OBD fault code, wapi tatizo lilipo kwenye gari, pamoja na umbea wa ziada wenye namna tofauti tofauti chakufanya ili kutatua hilo tatizo! So try go through it, uone kama kinaeza kuwa kitabu mhimu kwako! Kama kuna maneno ya kingereza huelewi, tumisa ile app ya kutafsiri maana!


uchawi wa WINDOWS10

Huu uchawi unatibu WINDOWS pamoja na MICROSOFT OFFICE๐Ÿ‘Œ! Mashariti ni kwamba wakati unapakuwa (downloading) au ukimaliza lazima uzime antivirus yeyote iliopo kwenye laptop/kompyuta yako!
Mfano hiyo windows defender unaifanya namna,

Search neno Protection kama hujui kuifungua moja kwa moja,ย  so ikitokea bonyeza open Virus & Threat Protection

Sasa, bonyeza kwenye Virus & Threat Protection Settings.

Just chagua turn off Real-Timeย Protection.

Wakati unataka ku download, kutratokea ujumbe kama huu, lakini usiwe na au kwa wasi wasi, bonyeza kwenye “More info” kiisha kwenye “Download anyway”
Sasa, ukimaliza ku download, unzip alafu ubonyeze kwenye hicho cha RED (nyekundu)

Ikimaliza itakaa hiiivi


Kupata OBD CODE bila mashine

Especially kwenye hizo gari zenye haziina hii OBD socket mpya ya 16PIN, pamoja na kwamba diagnosis mashine za siku hizi zinakuanga na socket moja juu siku hizi gari zote ni zenye hiyo socket moja! Ina maana gari yenye socketi tofauti ikitokea huwezi kupima kwa mashine!
….so HAPA UJANJA tu๐Ÿ‘จโ€๐ŸŽ“
Za ABS ziko chini ya hii document

kuziima AIRBAG WARNING LIGHT

Ajali ikitokea, kompyuta iliopo kwenye itahifadhi kumbukumbu hili, pamoja na kuasha taa fulani kwamba ata ukiweka diagnosis mashine ili kuizima hiyo taa ya AIRBAG, haiwezekani!
Sasa, huu uchawi wa kuzima au ku reset Airbag kufanya kompyuta isahau chechote, yaaani idanganye kwamba gari ni forever new!
Sometimes, ata gari ikitetemeka/kutikisa ghafla like kama as if imepata ajali hivi, like if U hit a pot hole, alafu taa ya AIRBAG ama SRS inabaki inawaka bila kuzima, kumanisha lazima ubadili vifaa fulani!
Hata ukiweka Diagnosis mashine, waaapi!

Sasa ndo huu uchawi tunakupa saa hii!

Bonyeza HAPA tuliokumbushana kuhusu namna AIR BAG wiring systems,ย  ma sensor husika, nk!
Pamoja na jinsi kuizima ikiwaka tu bila ajali wala kugonga kitu!

So huu uchawi unakuwezeshaย  kuzima hiyo taa ya AIRBAG bila kubadilisha vifaa (spare parts) ….namna tulijaribu kuoneshana kwenye hii video hapa chini๐Ÿ‘‡!
Kiisha shuka chini ya video uweze ku download๐Ÿป!

๐Ÿ‘‡DOWNLOAD ๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

uchawi kwa WINDOWS 7

Baada ya ku download ka program kenye uchawi, kisha ufate maelekezo namna tuliojaribu kuonesha hapa kwa hii video๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ

Kurekebisha KILOMITA za gari

Fata au utafata maelekezo ya kwenye hii video ili uweze kutumisa vizuri! Uchawi ni kwamba unaoneshwa EEPROM a.k.a chip/ic alafu unasoma hizo data, kisha unaingiza kwa hii software na kupewa namana ya kubadili hizo kilomita unazotaka๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ


๐Ÿ”‘KEY CODING & DECODING software

Kwanza ukiweka aina ya gari, hii progrogram itakuonesha chip/EEPROM ya ku deal nayo!
Tena, assuming kwamba unajua ujanja wa EEPROM, kusoma, ku save data, nk, ukitaka bonyeza hapaย tuliekezana!

Ukiweza kusoma data ya hiyo chip ama EEPROM ya funguo, unaweka tu hiyo data kwa hii program kiisha inafanya uchawi na kurudishiya data wa kuweka kwa hiyo.

Sii unajua ama umesikia blaa blaa kuhusu sijui ‘dampu’ mara ‘original data’ vitu namna hiyo, sasa briefly jua tu kwamba wakati gari inatengenezwa security system inakuwa kama binti bikira ya kwamba funguo yeyote itakapoingizwa mara ya kwanza, ikiwa sahihi, ndo hiyo funguo itaendelea kuasha hiyo gari!

Sasa, uchawi wa hii program ni kwamba ukiipatia data kutoka kwa hiyo EEPROM kwenye gari ya funguo liliyopotea, hii programu inafanya uchawi wa kufanya hii gari ku kubali funguo yeyote utakapoingiza mara ya kwanza, a.k.a key decoding, a.k.a virgizing a.k.a nk๐Ÿ˜„๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜€

PROGRAM iliomo ingine nayo ukiweza kusoma data ya hiyo chip ama EEPROM ya funguo, unaweka tu hiyo data kwa hii program kiisha inafanya uchawi na kurudishiya code ya kuandika kwenye hiyo transponder…ama kama unayo mashine imeonganisha kwa hiyo laptop yako, funguo itatengenezwa moja kwa moja!

DOWNLOAD HERE

Hizi software ni zenye uchawi wa kutengeneza funguo mpya wa au kwa, gari iliopoteza funguo wake, au kuongeza funguo zingine for back up moja ikipotea, then na ukitaka kutoa huu usumbufu wa immobiliser ( a.k.a IMMO OFF) ili gari iendeshwe kwa funguo ya kawaida!
Gari zingine utahitaji tu diagnosis mashine ya kawaida, gari zingine mpaka kungoa au kucheza na data za EEPROM namna tuliokumbusha hapa www.5021.tips/ujanja/keyprogramming
Tumeweka tofauti tofauti za hizi software, maana unaeza kuta moja kuna aina ya gari inakosa, na ingine pia! So, zikiwa software tofauti tofauti pamoja, huwezikosa unaotaka๐Ÿ‘Œ!ย  Aiise, kuna thousands of tested & working dumps za almost kila ECU.

Kwa ufupi, hii PACK ina๐Ÿ‘‡,

Immo OFF za kutoa, kuzima, kupotezea immobiliser signal kwenye gari na kwamba gari inaeza kuashwa kwa funguo lolote!

Virgin virgin files za ku restore immobiliser systems to factory settings ili iweze kupokea funguo yeyote utaiingiza mara ya kwanza!

Emulator with ready-to-use files na maelekezo kuhusu nini namna nani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ especially wakati unafanya immo off kwenye badhi ya gari!

Key writing kuwezesha kuandika key code kwenye ECU memory.

PIN caliculators ili uweze kubaliwa ku access data ya ECU zikiwa locked!

Pictures and wiring diagrams za almost kila ECU ! Yaaaani, components , memories, plugs, nk!

Ndiyo, kwanza malizana hapo na SUZAN๐Ÿป

Hizo DPF/EGR/ADBLUE/FGK/LAMBDA bonyeza hapa hapa ujue namna ya matumizi๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ

When where how why use CAPITAL LETTERS (herufi kubwa)

Herufi kubwa zinatumika sehemu nyigi kama, mwanzo mwa sentensi, majina ya watu, majina ya mahali, nk!ย  Ukitaka umbea wa ziada then check out this video๐Ÿ‘‡ย 

#capitalletters #punctuation #5021tips

Kuhusu ESP (Electronic Stability Programme)

Electronic Stability Program (ESP) ama Electronic Stability Control (ESC), au tena Dynamic Stability Control (DSC), ni uchawi wa ku improve a computerised vehicle’s stability by detecting and reducing loss of traction (skidding). ESP baada ya ku detect any loss of steering control, kuna namna it applies the brakes kuifanya gari irudi where the driver intends to go bila kupagawa namna tulijaribu kuelezea!

#automotiveESP #VEHICLEDYNAMICS #5021tips

Umbea kuhusu DPF (Diesel Particulate Filter)๐Ÿš’

Jinsi unafahamu engine za diesel zinatoa’nga moshi kali wenye vichembe (particles)๐Ÿš†, sasa kwa kutaka kuzuia hizi particles zisitoke nje ya gari kuharibu mazingira, kuna kidude fulani kinawekwa kwenye exhaust pipe ya gari ya diesel ili kushika hizi particles!

Baada ya hizi particles kushikwa zinachoma mpaka kupotea namna tulijabu๐Ÿ‘‡kumbushana!

#DPF #ADblue #5021tips


NAMNA YA KUONDOA HII SYSTEM KWENYE GARI, yaaani uchawi wa DPF DELETE!

kubadili lugha kwenye VW/Audi/Skoda kwa VCDS

In this video we will show you how to change cluster display language for the VW Golf Mk4, Mk5, Bora, Jetta, Passat, Polo, Touran, Sharan, Skoda Octavia 1, Octavia 2, Fabia, Seat Leon, Cordoba, Ibiza, etc. using VCDS VAG COM. But to do that, you will need a VAG GOM (VCDS) tester and a laptop with VCDS software already installed. Thenโ€ฆ

#VCDS #VAG #5021tips

KUSOMA CIRCUIT/wiring DIAGRAMS(michoro)

Ukitazama mchoro ya wiring zinatisha๐Ÿค”, lakini ukishaelewa misingi kadhaa utaona ni rahisi sana๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ!
Aanza kujua maana ya alama zilizomo,
then componet au kifa gani unafatilia, kinafanyaje kazi na kupata wapi au vipi umeme๐Ÿ‘ฉ๐Ÿผโ€๐Ÿ”ง

….then uendelee na blaa blaa za wire, nk!

Kwenye hii๐Ÿ‘‡ video tulijaribu kuoneshana kila๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ


Kitabu How To use Electrical Wiring Diagrams
Click ย HERE


Kitabu, Wiring Harness Repair Instructions
Click Hereย 


Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [2.38 MB]


#readingwiringdiagrams #electricaldiagrams #5021tips


Maana ya maandishi kwenye mitungi๐Ÿงด ya oil

Watu wengi wamebadilisha mafuta (OIL) ya gari lao wenyewe au wamepeleka gari kwa garage kwa wataalamu! Sasa, kipengele muhimu kuhusu blaa blaa ya mafuta (OIL) ni kuchagua aina ya OIL sahihi pamoja na right quantity๐Ÿค”! I swear, unahitaji kuzingatia nambari zilizo kwenye lebo ya mafuta (OIL) ya gari. Unaweza kuona kitu kama “10W30” au “5W20” na ukashangaa wanamaanisha nini hiki๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜….


#oilspecifications #engineoil #5021tips

SHOW LESS

ujanja wa Virtual Private Server (VPS)

A Virtual Private Server (VPS) uses virtualization software to partition physical servers into multiple “virtual” serversโ€”each having the ability to run its own operating system and applications. VPS is not for everyone, but is quickly becoming the hosting preference of choice for advanced Web developers who require root access to the server to run their own software.

#VPS ย ย #VPN ย #5021tips

Throttle Body Alignment (TBA) for VAG vehicles, VW, AUDI, SKODA, etc..

Free vehicle support at http://forums.ross-tech.com This video (in Swahili language) shows how to perform the Throttle Body Alignment on VW, Audi, Seat, Skoda and Bentley vehicles.

 

http://wiki.ross-tech.com/wiki/index….

#ROSStech
#VCDS
#5021tips

LANDROVER LR4 (maelekezo ya ufundi)

Sii unajua kuna maelekezo jinsi ya kufungua, kufunga, kurekebisha, ku fanya hiki na kile…pamoja na michoro ya wiring, picha zote๐Ÿ˜Ž! Iliaandaliwa na wataalamu wenyewe๐Ÿ‘Œ, so…..?

Hebu tazama hii video uone niaje๐Ÿ™„, kiisha shuka chini uweze kui download!


 

Ujanja kubadili OBD cable yoyote iweze kutumia dealer software wa TOYOTA๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ”ง

Namana tumeelekezana katika hii video, cable yeyote inaeza kufanya hizo kazi kufanya diagnosis ya kitaalamu๐Ÿ‘ฉ๐Ÿผโ€๐Ÿ”ง kwenye gari za TOYOTA! Download hii software ili muradi umeweza kubadili cable kwenye PINOUT ya protocol za TOYOTA/Daihatsu! Ukishindwa piga picha ili tuelekezane namna ya cha kufanya๐Ÿ‘Œ!


KEY/ECU CODES (Ford, Mazda, Landrover, Jaguar, etc)

If you know what’s done, save time BONYEZA HAPA uweze ku calculate hiyo code๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ, sii unajua niaje๐Ÿ™„๐Ÿ˜Ž!

otherwise soma haya maelekezo๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘‡

Ukitaka kufanya key programming ama ECU coding๐Ÿ™„, kuna badhi kubwa ya mashine zenye uwezo๐Ÿ‘Œ! Sasa sijui uko na mashine ipi, lakini wewe tafuta uchawi wako wote uweze kuingia kwenye menu ya programming/coding kwa PCM (Powertrain Control Module) au/na zile IPC ECUs kama ya PATS, BODY ECU, nk๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ!
Mashine yenyewe itakutolea zile details za OUTCODE namna hii๐Ÿ‘‡like ukiwa unafanya Ford, kwamfano tu๐Ÿ˜Ž!Sasa, baada ya kupata hizi details lazima umutumie sijui wakala wa hizo gari au sijui mtaalamu fulani๐Ÿ‘ฉ๐Ÿผโ€๐Ÿ”งakupe code fulani ndo uweze ku programm hiyo funguo ama ECU! Sasa ujanja tunapatiana hapa ni namna ya kupata what we call INCODE kwa kuingiza hiyo OUTCODE hapo kwenye picha ya juu๐Ÿ‘† (ndani ya boxi rangi nyekundu), kwasababu ukiendelea utakuta sehemu inakuitisha INCODE kama kwenye hii picha ya chini๐Ÿ‘‡Kupata hiyo INCODE, utabonyeza๐Ÿ‘‰ hapa hapa ๐Ÿ‘ˆna ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!

Ikifunguka itakuwa namna hiiKupata hiyo INCODE, utabonyeza๐Ÿ‘‰ hapa hapa ๐Ÿ‘ˆna ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!

Hebu fanya mazoezi kwa hiizi OUTCODE hapa chini uone niaje๐Ÿค”!

Ford fiesta 1.4 TDCI
Outcode:0000 EF440F 0000
Error Control:43168
OUTCODE = 4CBB
โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”-
Mazda 3
Outcode: 0040 โ€“ 058215 โ€“ 000000
INCODE = 9175
โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”
OUT CODE: 0044-151E3F D60E19
ERRORCONTROL: 4X420
Hapa lazima ufanye mara mbili
outcode single: 151E3F = 154F
outcome dual: D60E19 = E768
your incode is: 154FE768
โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€“
Jaguar XType 2003
key programming outcode 05975543
income is 9FAD

Kupata hiyo INCODE, utabonyeza๐Ÿ‘‰ hapa hapa ๐Ÿ‘ˆna ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!

Namna ya kufungua ISO files

Mara nyingi unakutana file za iso๐Ÿ™„, zile file zimeka kama CD/DVD hiivi๐Ÿค”, ukijaribu kuifungua inakwambia “this ISO file can’t be blaa blaa”๐Ÿ˜†๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚ Sii unajua hizo file kama kwenye hizi picha๐Ÿ‘‡?
Fata haya maelekezo kwenye hii video kuhusu namna ya ku install hii software ili uweze kufungua au kuchoma hata kwenye CD ukitaka๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ


BENZ STARFINDER๐Ÿ•ต๏ธโ€โ™€๏ธ

Mercedes Benz wanatoa umbea, ujuzi, ujanja wooooote, kuhusu wakati gani, kwa nini, utumise nini, yaaani, jinsi ya kugundua, kutatuta magari yao pamoja na michoro ya waya, picha ya kia kitu!
So, tumekuwekea yote hapa, kwamba ata hii APP unaeza kuitumia kwenye ๐Ÿ“ฒsimu yako ya popte ulipo unapozunguka!
Like, wakati unapima BENZ kuna vi code code wanaotumia vya kumanisha kitu gani kwenye gari๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ!

Mfano, kumanisha fuel pump wanweza kuweka code FP17/QU so kama hujui FP17/QU inamanisha kitu gani na kiko wapi๐Ÿ™„, unakwamma tu!

HAPA UJANJA tu!
Ata kwa๐Ÿ“ฒsimu unatumia๐Ÿ‘‡

Tazama hii video uone namna kwenye simu๐Ÿ“ฒ

Ukitaka kwenye simu๐Ÿ“ฒ ama tuseme iwe mobile kwamba popote ulipo ๐Ÿ“ฒ!
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

BONYEZA HAPA

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†
Kuiweka kwenye kompyuta๐Ÿ’ป

๐Ÿ’ปDOWNLOADย 
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

BENZ DIAGNOSIS PASSWORDS

Wakati unafanya diagnosis kwenye magari za BENZ yeyote, ndogo na kubwa lorry kama Actross, ukitaka kufanya yale mambo advanced kama key programming, ECU blaa blaa, kushusha milleage, etc, na unaitiishwa password namna hii๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Like ukitaka kufanya ECU programming
Au ukitaka kufanya zileSo baada ya kuweka password ndo inafunguka namna hiii๐Ÿ‘‡Infact ukitaka kuona zaidi au namna ya kutumisa hii software uweze kupata hizo password, watch this video then download hapo chini๐Ÿ‘‡

DOWNLOAD HAPA๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

KUBADILI ODOMETER(Nissan)

Kama umepata ule ujanja wa kuchezea EEPROM am IC/chip๐Ÿ™„, kama bado bonyeza HAPA ujue niaje, but assuming kama tayari unajua hizo blaa blaa za EEPROM unafungua tu clustter ya Nissan alafu unatafuta EEPROM inaohifadhi data za mileage ambao mara nyigi ni 93C56 au 93C66 au ukikosa muulize mhudumu aina ya gari ili akumbushe.

Anyway ukiweka milleage, yaani digits unazotaka KM ioneshe unaziweka tu kwa hii software alafu inakwambia chakufanya na pakufanya…as in HEX digits za kuingiza!

Beer zetu mbili๐Ÿป uweze ku download๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ

Kitabu kufundisha KEY PROGRAMMING

Jinsi hii video inakuonesha, hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk! Yaani unapata almost kila umbea mhimu๐Ÿ‘Œ!

HAPA KUNA MASOMO kuhusu immobiliser systems, bonyeza tu๐Ÿ‘จ๐Ÿผโ€๐ŸŽ“!
Bonyeza๐Ÿ‘†au kwenye picha๐Ÿ‘‡


ONYO๐Ÿšจ>>

Technologia inabadilika kila sekunde, so ukiona mashine fulani ndo ilitumika, usikulupuke kununua hiyo mashine unaezakuta kuna mashine ingine mpya/bora!
Hiki kitabu kikusadie tu kutoa mwanga kwa macho yako, nenda ufanye research nyingi zingine bora๐Ÿ™๐Ÿผ!


DOWNLOAD HAPA ๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

password aandika neno KitabuFongu0



EEPROM work (kusoma, kubadili, kuandika data)

Kuna kazi nyingi unaweza kufanya kwa kujua kuchezea data inakuanga humu kwenye chip au EEPROM (Electronically Erasable Programmable Read Only Memory)!
Yaaani hapa tunakumbushana kuhusu uchawi wa, kusoma, kuhifadhi, kubadili, kuandika, nk, ya kwamba ata ukitajiwa tu adress unajua niaje!
Kwenye hii picha ya chini๐Ÿ‘‡unaona blaa blaa ya namna data inakuanga ndani ya hizo EEPROM๐Ÿค”?Sasa hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk, vyote tumeoneshana kila, kwenye hii video๐Ÿ‘‡!
Video hii ni ndefu na kuna maneno mengi๐Ÿ™„ย  na ukitaka kufanya practical ujifunze kwa vitendo tumeweka hapa bonyeza HAPA unaeza kuwa huna mashine yeyote ya hizo EEPROM na kweli unataka kufanya mazoezi๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!
What we have done, ni kuwekea software inasoma hizo data, pamoja na mfano ya hizo EEPROM data ili ufanye mazoezi ku edit, delete, blaa blaaa, you know?

Madhara ya in-Circuit EEPROM programming

kwanini 0123456789ABCDEF

DATA ADDRESS reminder

CHECKSUMย  ย ERRORS


Misingi ya CAR KEY PROGRAMMING



Kwanza moja kwa moja, ukumbuke how immobilizer systems work, what components involved, why and how to supercalifragilisticexpialidocious if lost or spare keys๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ



Kwanzia hizo TRANSPONDER KEYS funguo za chuma za kawaida, mpaka hizo SMART KEY, tunaanza na mifumo, jinsi zinafanya kazi, ili uweze kuelewa kwanini, mashine fulani ndo zinazo kamilisha kazi fulani!


TRANSPONDER KEYS

Kwa kutaka kuzuia wizi, walifanya uchawi kwenye gari kwamba isipo kuwa funguo maalum ya hiyo gari maalum, hiyo gari haiwezi kuendeshwa. Kwenye funguo waliweka kadude fulani kanaitwa Transponder
Sasa haka kadude namna tulivyoneshana kwa video, kuna neno siri ama PIN a.k.a password ambao lazima ifanane na ilyo kwenye gari. Isipo fanana gari haitawaka!

So, kwa hii video tulijaribu kuoneshana namna hiizi blaa blaa zote zinafanya kazi

Ina maana hiyo funguo maalum ya kuendesha gari maalum ikipotea lazima ufanye uchawi wa ziada kuirudisha namna tuliojaribu kumbushana katika hii video!

ONYO๐Ÿšจ: Mara kwa mara kuna ujanja unaotokea wa nmna ya kufanya key programming, so hii ni just basics of what could be done in case๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!



TRANSPONDER DETAILS

Na hata kama hizo transponder zinafanana kwa muonekano, lakini ziko tofauti kaaabisa! Yaani ziko na namba mf., ID46, 4C, TPX7, nk kulingana aina ya gari! Ina maana ukileta tranponder ya Toyota Corona kuiweka kwa system ya Toyota Carina, hazitafanya๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ namna tulioneshana kwenye hii video



Sasa kuna system zenye funguo za transpoder kama tumeone, na kuna smart key systems


SMART KEY SYSTEMS

Sasa, hizo smart zinabaki mfukoni kwamba unaeza kufungua mlango na kuendesha gari bila kuigusa hiyo funguo!

KEYLESS ama SAMRT KEY SYSTEM ina upande miwili, upande wa kuasha gari KEYLESS IGINITON SYSTEM, na upande mwingine wa tuseme kifahari hiiivi, KEYLESS ENTRY SYSTEM ile yakufungua mlango, booti, kutembeza viti, nk!

So namna hii video inakuonesha tutangaliza hizo part tofauti tofauti


KEYLESS IGINTION SYSTEM

Sasa tukianza na KEYLESS IGINTION SYSTEM tutaona namna SMART ECU ikishirikiana na ID CODE BOX, BODY ECU, ENGINE ECU, nk, kama TRANSMISION ECU, STEERING LOCK ECU, nk, ili kuwezesha engine kuaka kwa kutambua kama ndo funguo sahihi ilioko mfukoni ya huyo mtu anaejaribu kuendesha hiyo gari!
Hii video ni ndeeefu pamoja na maneno mengi ya kurudia rudia ili uweze kuipata vizuri!


KEYLESS ENTRY SYSTEM

Sasa hapa tunajaribu kuoneshana KEYLESS ENTRY SYSTEM, utaona kwamba hapa ni SMART ECU na BODY ECU na componet zingine zinazohusiana…pamoja na uchawi gani unaweza kufanya kukitokea blaa blaa yeyote kwenye hii system!


Unajua kuna mashine nyigi na ni rahisi kutengeneza au kuongeza funguo ya smart. LAKINI ukikosea kidogo tu, ni hatari na kwamba system nzima utakuwa umehiharibu๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!

So be careful when diagnosising for problems or when using diagnosis machine as we tried ellaborate in this video



IMMO OFF & IMMOBILIZER DECODING

Kufanya IMMO OFF ni ule uchawi kufanya gari iwake na funguo yeyote kama kawaida au kama mifumo ya zamani.ย  IMMOBILIZER DECODING๐Ÿ™„, ni kama ufunguo umepotea, unafuta kumbu kumbu ya ufunguo, kuirudisha kuwa bikira (virgin) kama mwanamke akiwa ajaolewa, namna gari inavyokuwa kiwandani!

Namna tulioneshana kwenye hii video, kufanya IMMO OFF either unaweka emulator au ku edit data za IC ama chip ya funguo!

ONYO ๐Ÿ“Œ

kama unajelewa niaje, mambo ya EEPROM data blaa blaa, tumekuwekea hapa data za IMMO OFF na DUMPS (virgin Data), otherwise endelea kujifunza niaje!ย 

Data za IMMO OFFย 
BONYEZA HAPA



IMMOBILIZER SECRET PIN CODES

Na, sometimes, ukiwa na secret codes fulani, ziwe SMART KEYS au TRANSPONDER KEYS, kwa kutumia ata diagnosis machine ya kawaida, unaweza kufanya ujanja fulani!ย 
So, tumekuwekea program kuwezesha kupata hizo secret codes fulani!

BONYEZA HAPAย 



TRANSPONDER & EEPROM details!


Tena tulijua kwamba funguo ikipotea unaweza kupata code/passsword kutoka hiyo EEPROM ili ukatumbukize kwenye funguo ingine ndo gari iwake, au pia kama control boxi imekufa unatoa haka EEPROM ukaweke kwa hiyo control boxi ingine๐Ÿ‘Œ!
Sasa uchawi ni kusipojua EEPROM ya funguo iko wapi na ni gani katika hizo nyingi zilizopo kwenye circuit board, maana iwe control boxi au immo box kuna EEPROM nyingi nyingi.

So hii App๐Ÿ“ฒ ya kwenye simu au na kompyuta๐Ÿ’ป, inakusadia kujua EEPROM ipi au Transpoder ipi inaendana hiyo gari๐Ÿค”!


BONYEZA ย HAPA



EEPROM WORK

Sasa tayari umejua ni EEPROM gani ya funguo๐Ÿ™„, je unajua nini chakufanya uweze kuisoma, kubadili ili ufanye IMMO OFF au DECODE ili kupata code/password ya funguo kutoka hiyo EEPROM?So ukibonyeza HAPA utona tulikumbushana au kuoneshana kuhusu data inakuanga humu, inakaje, inasomwa au kubadilishwa namna gani๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk, mara Flash Memory, EEPROM memory, nk!

BONYEZA HAPA



KEY PROGRAMMING BOOK

Hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk!
Yaani unapata almost kila umbea mhimu๐Ÿ‘Œ!
Ni PDF๐Ÿ“ฒ popote๐Ÿ’ป kinafunguka!

BONYEZA HAPAย 



KEY PROGRAMMING SOFTWARES

Tuseme umepata idea ya namna funguo zinafanya๐Ÿ‘Œ!
Na funguo ikipotea umejua kwamba unaweza kutumia data ya EEPROM kuweza kutenegeza ufunguo mwingine AU ukafanya IMMO OFF ukatoa tu immo system ili gari ikubali funguo yeyote.
Sasa changamoto ni kujua uchawi gani wa kufanya immo off au ku program funguo ingine kwa kutumia data ya EEPROM ndo maana ukitaka niaje๐Ÿ˜ข!
Tumekusanya kila aina ya programu, yaani software kufanya ujanja wowote kwenye kila gari๐Ÿค”, bonyeza tu HAPA HAPA HAPA๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!
Huu ni mifano namna hizi softyware ziliopo! Ni nyiiingi๐Ÿ‘Œ!


BONYEZA HAPA TO DOWNLOAD THIS FULL PACKAGE OF DVD


na TENA na tena, je๐Ÿค”

STARFINDER inafunguka hata kwenye simu popote ulipo๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ

Tumetumia data, muda wetu na gharama zingine๐Ÿ‘Œ! Aiiise, aacha hizo! Tuchangie ko ๐Ÿปbeer mbili ama Soda, ndo upewe password๐Ÿ™๐Ÿผ! Ongea na mhudumu hapo chini, kwa lugha yeyote, ama EMAIL๐Ÿ‘‰ ujanja@5021.tips ๐Ÿ‘ˆhata even whatsApp +250 733 345766 fasta fasta๐Ÿคณ! Ukipewa password ndo uingize hapa๐Ÿ‘‡ chini!

Where How to calculate Immobilizer Key codes

Ata hizi diagnosis mashine za kawaida zina uwezo kukamilisha kufanya kazi fulani ukiwa na SECRET CODES fulani!
Infact ata ikiwa kwenye zile mashine maalum za key programming, najua mara nyingi una, uta au umekutana sehemu ya kuhitaji SECRET CODES fulani wakati unajaribu kafanya ECU au ufunguo (ECU au ama Key Programming) kwenye gari au pikipiki, alafu unakwama kwasababu mashine inakuitisha PIN fulani!
HAPA UJANJA tu!

Kwanza kabisa, kwa ubora zaidi, tunadhania umejifunza au umekumbukaย  yafuatayo!
๐Ÿ‘‡

Namna, jinsi au ufanyaji kaziย  IMMOBILISER SYSTEM wa magari!
Kama bado Bonyeza HAPA!


Tena, hiki kitabu nacho kinakupa mwongozo fulani au mwanga.
Ni PDF unaweza kukisomea kwenye simu๐Ÿ“ฒ yako au computer!
bonyeza HAPA!


Kazi zingine utahitaji ku deal na blaa blaa ya FLASH au EEPROM data kuweza kupakuwa hiyo PIN utahitaji!ย  Ukitaka kupita kuhusu ujanja wa EEPROM works,
bonyeza HAPA!


Na tena ukitaka kujua hiyo chip au EEPROM ya kusoma data iko wapi!
Kuweka hii program ata kwenye simu au computer, bonyeza HAPA!


Au ukitaka kujua mashine yipi inaoweza kufanya kipi kwa kwenye gari fulani, unabonyeza HAPA!


Sasa, najua umekutana wakati unajaribu kafanya ECU au ufunguo (ECU au ama Key Programming) kwenye gari au pikipiki, unakwama kwasababu mashine inakuitisha PIN fulani!

Mashine inaeza kuwa hizi diagnosis za kawiada au ata mashine zenyewe za kufanya key programming nazo (zingine au nyingi nyigi) zinaulizanga PIN!

Sasa, tumekosanya uchawi wa namna ya kupata hizi PIN kwa kila aina ya gari!

Kama hutaki kuendelea kusoma hizi blaa blaa, shuka chini ya hii page uweze ku download ata kwenye simu!

Tumeweka au kuoneshana namna ya kufanya kwa kila! Unaeza kuta zingine unaingiza tu Chasis number ya hiyo gari na ukapata PIN ya hiyo funguo, zingine unaingiza tu PartNumber ya kifaa fulani, inaeza kuwa ya ECU au IMMO BOX au INSTRUMENT cluster, au anything!

Mifano tu๐Ÿ‘‡

Kwenye NISSAN fulani inaeza kuta unahitaji hiyo 5 digit code imezungushwa kwa ki red box kwenye label
Inaeza kuwa kwenye Toyota, may be hiyo mashine uliyo nayo haiwezi kufanya uchawi wa PIN automatically, kwamba unahitaji kuingiza hiyo SEED NUMBER uweze ku caliculate hiyo PIN CODE kama hapa chini!Inaeza kuwa umekwama na VW/AUDI kumbe ujanja ni kuifungua na kusoma data kwenye EEPROM fulani kwenye instrument cluster amabapo code imejicha!Unaeza kuta gari zingine, funguo hijapotea, lakini imegoma tu kuasha hiyo gari na inaitisha PIN fulani, kumbe uchawi ni kufunguo tu hiyo ufunguo usome keyTAG na paaaaa….

aode
mitsvazSWA
swamitsu
flashEN
FlashSW
ml
aotadakey
enPROG
swaPROGr
272764590_128787566304534_1345823714250307931_n

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

UKITAKA KUPAKUWA, NDO HAPA SASA
kwenye simu๐Ÿ“ฒ au kompyuta๐Ÿ’ป
๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘†
password:
Tetogwa walwa ibili2

๐Ÿ‘†

Translate /Tafsir /Traduire