DENSO Tech Training

Jiweke katika ubora na mafunzo haya ya hali ya juu mahususi ya mtengenezaji, DENSO!
Hii imeundwa ili kutayarisha, na au kuendeleza ujuzi na ujuzi wako ikiwa tayari wewe ni fundi!
Upuuzi huu unajumuisha kila mifumo ya kampuni hii, ikiwemo, Electronic Control Technology (ECU), Diagnostics, Automatic & Manual Transmission, ECU repair, Auto Electrical, nk!

HAPA UJANJA tu!
๐Ÿ‘‡

 

CLICKย  ย BONYEZA
๐Ÿ‘‡

HAPAย  HERE

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

When where how why use CAPITAL LETTERS (herufi kubwa)

Herufi kubwa zinatumika sehemu nyigi kama, mwanzo mwa sentensi, majina ya watu, majina ya mahali, nk!ย  Ukitaka umbea wa ziada then check out this video๐Ÿ‘‡ย 

#capitalletters #punctuation #5021tips

Ujanja wa ENGLISHES๐Ÿ‘จโ€๐ŸŽ“

Jinsi unafahamu lugha ya Kingereza unakutana nayo sehemu nyingi nyingi katika shuguli zako! So ukijifunza uchawi fulani wa matumizi, kuzungumza au kuhandika, inakuwa faida kubwa ili kuulaizisha shuguli zako๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!
Kuna aina kama mbili ya Kingereza (Buisness English & Social Englishes)! Social English ni blaa blaa kawaida ya mtani ya kuzungmza na mnajuana! Buisness English ni ile ya mambo kuwa serious kama ukitembelea ofisi ya mtu, inaekuwa mkutano, au kuongea/kuwandikiana kwa email ki biashara au whatever serious issue as we ellaborated!

 

#englishforbeginners #englishlessons #5021tips


KUTOA SALAMU

Ukitaka kutoa salam kwa lugha ya Kingereza huitaji maneno mengi wala ile wasi wasi wa kwenye saa ngapi maneno fulani yatumike! Sema tu “Hello”, ndiyo hata “Hi” inafanya lakini kulingana nani!ย 

#BUISNESSenglish #HOWtoGREET #5021tips


EMAIL (Kuwasiliana kwa email- baru pepe)ย 

Kuna umbea fulani au jinsi unavyoweza kuwasiliana kwa njia ya barua pepe namna kielimu bila wasi wasi, kama jinsi unavyosalimu, urefu wa ujumbe au hata maneno gani inasitahili kutumika, na mengi zaidi!
Part1

Part2

#businessenglish #email #5021tips


EEPROM work (kusoma, kubadili, kuandika data)

Kuna kazi nyingi unaweza kufanya kwa kujua kuchezea data inakuanga humu kwenye chip au EEPROM (Electronically Erasable Programmable Read Only Memory)!
Yaaani hapa tunakumbushana kuhusu uchawi wa, kusoma, kuhifadhi, kubadili, kuandika, nk, ya kwamba ata ukitajiwa tu adress unajua niaje!
Kwenye hii picha ya chini๐Ÿ‘‡unaona blaa blaa ya namna data inakuanga ndani ya hizo EEPROM๐Ÿค”?Sasa hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk, vyote tumeoneshana kila, kwenye hii video๐Ÿ‘‡!
Video hii ni ndefu na kuna maneno mengi๐Ÿ™„ย  na ukitaka kufanya practical ujifunze kwa vitendo tumeweka hapa bonyeza HAPA unaeza kuwa huna mashine yeyote ya hizo EEPROM na kweli unataka kufanya mazoezi๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!
What we have done, ni kuwekea software inasoma hizo data, pamoja na mfano ya hizo EEPROM data ili ufanye mazoezi ku edit, delete, blaa blaaa, you know?

 

 

kwanini 0123456789ABCDEF

DATA ADDRESS reminder

CHECKSUMย  ย ERRORS

Translate /Tafsir /Traduire