Hii PDF kuna kila Technical info kuhusu hizi aina za NAVARA! Kuna michoro ya waya, namna ya kufungua/kufunga kila anything! Kufanya service, Engine overhaul, Transmission, etc!
Link takes you google drive
๐
CLICKย HEREย TOย ACCESS
๐
Kiliaandaliwa na wataalamu wenyewe๐, so…..?
ONYO๐ข Ukimaliza ku download, hii manual ni ISO (kama CD hiivi) so unahitaji software hii HAPA ya kufungua file za ISO.