Kupata OBD CODE bila mashine

Especially kwenye hizo gari zenye haziina hii OBD socket mpya ya 16PIN, pamoja na kwamba diagnosis mashine za siku hizi zinakuanga na socket moja juu siku hizi gari zote ni zenye hiyo socket moja! Ina maana gari yenye socketi tofauti ikitokea huwezi kupima kwa mashine!
….so HAPA UJANJA tu๐Ÿ‘จโ€๐ŸŽ“
Za ABS ziko chini ya hii document

Ujanja kubadili OBD cable yoyote iweze kutumia dealer software wa TOYOTA๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ”ง

Namana tumeelekezana katika hii video, cable yeyote inaeza kufanya hizo kazi kufanya diagnosis ya kitaalamu๐Ÿ‘ฉ๐Ÿผโ€๐Ÿ”ง kwenye gari za TOYOTA! Download hii software ili muradi umeweza kubadili cable kwenye PINOUT ya protocol za TOYOTA/Daihatsu! Ukishindwa piga picha ili tuelekezane namna ya cha kufanya๐Ÿ‘Œ!


Translate /Tafsir /Traduire