RESISTORS

Resistors, yaaani Rizisita, zinazuia mtiririko wa umeme!
Uzuiaji huu unaweza kuja na manufaa katika hali nyingi, especially katika vifaa vya umeme!
Hii ๐Ÿ‘‡video inaelekezea kila kitu, kuanzia kwa jinsi hizi rizisita hizi zinavyofanya kazi, jinsi au wapi zinatumiwa, ikiwa ni pamoja na jinsi zinazyopangwa na kupimwa kukiwepo matatizo yoyote!

Jinsi umeona, kila rangi iliopo kwenye resistor ina maana!
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
BONYEZA HAPA
ku caliculate hizo color codes!

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

TRANSISTORS (class on hold)

Kama tayari ushatoa chupa๐Ÿป zetu bonyeza๐Ÿ‘‰ kuLogin (kuingia)๐Ÿ‘ˆ OTHERWISE kutujulisha namna au ngapi au wapi tutatizipata๐Ÿ‘‰ bonyeza hapa hapa๐Ÿ‘ˆ
Translate /Tafsir /Traduire