Kitabu cha ufundi umeme (Advanced Electrical Installation Work)

Mwenyewe unaona au utaona wingi wa picha za rangi kamili na michoro kuelezea kila kuhumu blaa blaa za umeme!
Kuna ufafanuzi ulioangaziwa wa istilahi za kiufundi kote kwa marejeleo ya haraka na rahisi🤷‍♀️!

HAPA UJANJA tu!

RESISTORS

Resistors, yaaani Rizisita, zinazuia mtiririko wa umeme!
Uzuiaji huu unaweza kuja na manufaa katika hali nyingi, especially katika vifaa vya umeme!
Hii 👇video inaelekezea kila kitu, kuanzia kwa jinsi hizi rizisita hizi zinavyofanya kazi, jinsi au wapi zinatumiwa, ikiwa ni pamoja na jinsi zinazyopangwa na kupimwa kukiwepo matatizo yoyote!

Jinsi umeona, kila rangi iliopo kwenye resistor ina maana!
👇👇👇👇👇👇
BONYEZA HAPA
ku caliculate hizo color codes!

👆👆👆👆👆👆

Electrical Tips

Hapa tunajifunza na au kukumbuka chochote kuhusu umeme, ambacho huja bila mpangilio!

HAPA UJANJA tu!

RESISTORS

Resistors, yaaani Rizisita, zinazuia mtiririko wa umeme! Uzuiaji huu unaweza kuja na manufaa katika hali nyingi, especially katika vifaa vya ...


Translate /Tafsir /Traduire