Ujanja kubadili OBD cable yoyote iweze kutumia dealer software wa TOYOTA👨‍🔧

Namana tumeelekezana katika hii video, cable yeyote inaeza kufanya hizo kazi kufanya diagnosis ya kitaalamu👩🏼‍🔧 kwenye gari za TOYOTA! Download hii software ili muradi umeweza kubadili cable kwenye PINOUT ya protocol za TOYOTA/Daihatsu! Ukishindwa piga picha ili tuelekezane namna ya cha kufanya👌!


Translate /Tafsir /Traduire