Namna kupokea msaada kwa computer yako mtu akiwa mbali

Unaeza kuwa unataka kufanya kitu fulani kwenye computer💻 lakini🙄 hujui niaje. Mwenzako amekwelezea namna ya chakufanya, lakini baado unaona ni ngumu😥!

Sasa kuna uchawi mtu anaweza kuingia kwenye computer💻 yako na akafanya kila kitu akiwa mbali🤷🏼‍♂️(mf., Wewe uko Juba yeye yuko Mogadishu, ama wewe uko Bujumbura umekwama na computer yako, yeye yuko Paris anaiingia kufanya kazi kwa computer yako ilio hapo Bujumbura)

Bonyeza hapa uweze ku download (ukiwa kwenye hiyo computer🖥💻 imekupa changamoto),  Download hii software, www.teamviewer.com kiisha piga picha au umutumie hizi details kama kwenye hii picha! Ili muradi kompyuta yako iko connected kwa intaneti, wewe neenda ukanywe🍺 zako utakuta kila kitu tayari🤷🏼‍♂️