Electronic Parts Catalog (EPC)Toyota

Unaeza kuwa mwenye gari la toyota, au fundi au may be muuza speya🤔, sasa umbea ni kwamba kwenye kiwanda cha Toyota sio kila gari linalotengenezwa lazima watumie vifaa mpya! Meeeen, kitu namanisha ni kwamba wanachanganya parts, as in, unaezakuta parts ziliopo kwenye Landcruiser ndo zile zile ziliotumika kwenye Corolla! Wewe ukitafuta speya, mfano la landcruiser, unaenda tu www.toyodiy.com chagua parts reference, select your car, then unaingiza chasis number uchunguze gari gani linalofanana speya hii ya Landcruiser, unaezakuta GX100, au Corona au iPsum au gari lolote la kiwango cha chini, ina maana ukienda kwenye duka ulizia speya la may be corona, na sio Landcruiser ili muuza speya asikugonge bei kubwa kulingana aina la gari🙄!  Kwa maelekezo ya ziada, au kuona niaje, tazama hii video👇