EEPROM WORK practice

Tulijaribu kuelekezana kuhusu data ya kwenye IC/EEPROM/CHIP, as in, namna ya kusoma, edit, delete, copy, nk hizo EEPROM data!
Kama bado hujapitia, na unataka kupata idea ya niaje hizo blaa blaa, then bonyeza hapa👉 www.5021.tips/ujanja/eepromwork 👈

Sasa unaeza kuwa huna mashine yeyote ya hizo EEPROM na kweli unataka kufanya mazoezi🤷‍♂️!
So what we have done, ni kuwekea hapa software inasoma hizo data, pamoja na mfano ya hizo EEPROM data ili ufanye mazoezi ku edit, delete, blaaa blaaa, you know?


SOFTWARE YA KWANZA na maelekezo ya matumizi kwenye hii video kiisha download hapo chini ya hii video


SOFTWARE INGINE na maelekezo ya matumizi kwenye hii video kiisha download hapo chini ya hii video


samples of EEPROM data


Then ukitaka ku compare data, use this tool