AIRBAG (SRS) SYSTEM’s (Diagnostics, Restore or & Repair Tips)

AIRBAG system iko na sensa ya kuchunguza kutikisa, ina maaana gari ikitikisa gafla kupiita kiasi isio ya kawaida, hii sensor ‘sensa’ itapeleka umbea chap kwenda kwa ECU (control boxi)!
Sasa, ECU ikipata ujumbe, kulingana, itapeleka moto (power) kwa defletor na kulipuwa AIRBAG  namna tulijaribu kuoneshana hapa👇pamoja  na chakufanya ili  kutoa/kuziima hiyo taa ya AIRBAG👨‍🔧


Ajali ikitokea, kompyuta itahifadhi kumbukumbu hili, kwamba ata ukiweka diagnosis mashine ili kuzima taa ya AIRBAG haiwezekani!

Sasa ukibonyeza HAPA  kuna ka uchawi ka kuzima au ku reset Airbag kufanya kompyuta isahau chechote, yaaani idanganye kwamba gari ni forever new!


Kuzima AIR BAG bila mashine, kulingana especially kama gari hapana kupata ajali👇



Translate /Tafsir /Traduire