ujanja kwa GOOGLE

Ikiwa unataka kupata jibu sahihi kwa shida uliyo nayo, unahitaji kujua jinsi ya kuuliza swali sahihi. Kwa watu wengi hii inaweza kuwa jambo gumu zaidi kufanya – kuuliza swali sahihi bila bla blaaa!

Mtandaoni, wakati unamuliza Mr.GOOGLE, Ili kupata jibu lako, lazima uweze kuelekeza moja kwa moja kwenye kile unachotaka. Utahitaji pia sachi injini nzuri ya utafutaji ili kukusaidia, sio GOOGLE tu!

Kwani sach ingini, Search Engine, ni nini?

Sach injini, kama GOOGLE, ni programu ambayo inatafuta na kutambua vitu katika mtaoni au kwa neno laisi tuseme “hifadhidata” ambayo inalingana na maneno muhimu au herufi zilizobainishwa na mtumiaji, zinazotumiwa haswa kutafuta tovuti fulani kwenye Wavuti ya Ulimwenguni Pote.”

Sasa kuna aina tofauti za injini ya utafutaji kama vile:

Google
DuckDuckGo
Yahoo
Baidu
na mengine mengi…
Lengo letu kuu ni GOOGLE, tukumbushane au kujifunza jinsi ya kuitumia GOOGLE kama mtaalamu, HAPA UJANJA tu!

Kutafuta Google ni ujuzi, ujanja fulani, amini usiamini. Inachukua mazoezi, lakini ikiwa utatumia mbinu hizi hivi karibuni utapata majibu kwa maswali yako magumu zaidi.

 


HAPA UJANJA tu

ujanja wa GOOGLE (paralleling websites)

Huu ni ujanja ambayo unaweza kutumia kutafuta tovuti zingine zinazotoa bidha au shuguli za kufanana ...

Translate /Tafsir /Traduire