UNLOCK Toyota radio

Ukitoa battery ya gari au kuichokonowa chokonowa radio ki namna, itafika wakati unakuuliza neno siri au may be kama ulitoa nje memory card, inakwambia uingize card ama MAPCD ili iweze kufunguka🤷🏼‍♂️ !
Kuna usumbufu wa aina mbili either inakuuliza ERC code ama inakuambia kuweka memory au CD👌!

Sasa ukikuuliza ERC code namna hii

Fata haya maelekezo kwenye hii video, kiisha shuka chini uweze ku download hii software ya kupata ERC code


Sasa, ikikwambia uweke SDcard ama MAPCD naman hii, download hii software ya chini👇uweke kwenye MEMORY CARD ama uchome kwa DVD kulingana👌

UKITAKA ZA RADIO ZINGINE BONYEZA HAPA

 

Translate /Tafsir /Traduire