VIRTUAL MACHINE (kuzalisha computer💻💻💻 nyingi ndani ya moja💻)

Uchawi wa VIRTUAL MACHINE ni kuzalisha computer nyigi ndani ya computer moja🖥!

Mfano, uko na computer ya MAC wakati unataka kufanya kazi zinazohitaji computer ya Microsoft WINDOWS au may be tuseme computer yako ina WINDOWS 10 wakati lazima uwe na computer yenye WINDOWS 15, so kuliko kununua computer ingine what You do unatumisa huu uchawi wa VIRTUAL MACHINE🤷🏼‍♂️!

See how it works, then download below👇

#virtualmachine #virtualwindows #5021tips