Hii software itakusaidia kuhifadhi kumbukumbu kuhusu wateja pamoja na kuhusu gari zao. As in, jina la mteja, namba zake za simu, ofisi au nyumbani kwake, nk.
Alafu kuhusu gari🤔? Namba ya gari, jina la gari, picha ya gari, hiyo gari imewahi kutengenezwa hapo mara ngapi? Mfanya kazi👨🔧 gani alihusika kwa huo utengenezaji, pesa ngapi iliitishwa au je mwenye gari ali lipa ngapi kwa hiyo kazi🤔.
Je, picha ilipigwa? wakati kazi inafanywa? Aiiise, kila kitu kwamba ukiingiza tu either jina la mwenye gari au namba ya hiyo gari unapata kila umbea unaotaka🤷♂️!
Hayo mambo kuhusu invoice, sijui receipt na unaweza kuweka TIN namba yako kwa hiyo receipt👌!
Hizo blaa blaa za quotaion fasta fasta inatengeneza🤷♂️!
Hebu tazama hii video uone niaje, kiisha uende china kuweza kuipata ama kui download! Tena hii software haiitaji utaalamu wote ili muradi una computer au tablet kazi kwisha.
ONYO: Inalingana simu, sio simu zote zinaweza!
Ukitaka password muulize hapo mhudumu
Mfano wa invoice inaotoka inakaa namna👇lakini ikiwa na details za ofisi yaaako😂🤣😆