programu za XTOOL

Inaeza kuwa umepoteza memory card ya mashine yako ya XTOOL, au unataka ku update, au whatever🤷‍♂️! Tafta namna unaenda tu kwa options, kiisha unachagua ABOUT upate serial number na password, namna👇👇 Ukipata serial number na password, download hii program uweke hizi


Au tembelea www.xtooltech.com uone niaje kukiwa usumbufu!