Katika aina za hizi BackHoe Loaders, Kubota inatoa miuundu kadhaa ya inazoiita TLB, yaani Trekta Loader Backhoe, ikijumuisha B26, L47, na M62.
Mifano hizi zimeundwa kwa matumizi mengi tofauti, na kulingana!
Mfano, kuna B26 TLB iliyoshikamana na yenye matumizi mengi, inayofaa kwa kazi ndogo na nafasi zinazobana.
Kuna L47 hutoa nguvu zaidi na kina cha kuchimba kuliko B26, na kuifanya kufaa kwa anuwai ya kazi.
Sasa ile M62 ni kubwa zaidi kati ya hizo tatu, na yenye uwezo mkubwa zaidi wa kuchimba.
Hizo blaa bla za BX, kaa BX23S ni chaguo maarufu, inayojulikana kwa matumizi mengi na kuegemea.
Click HERE DOWNLOAD ALL
KUBOTA BX23S
KUBOTA B26

Click HERE DOWNLOAD ALL