VITABU

Hivi ni vitabu vya kila technical field, bila kufuata mlolongo wowote👌, kwa sababu tunaweka tu chochote kinachoonekana kuwa cha mhimu kwa mtu yeyote! Unaweza hata kupakua, as in download kwa simu au computer🤷‍♂, au kwamba wakati wowote unapotaka kusoma utapitia usumbufu wa kurudi hapa😒!
Vingi ni bure💃🕺, na vingine venye gharama, sii unajua😉? Ni mbili tu🍻!
HAPA UJANJA tu👨‍🎓

AUDI A3 (Direct petrol injection & ignition system)

This manual is about that direct petrol injection and ignition system (4cyl. 2.0 ltr. 4-valve turbo) and it is, this is designed to help you perform necessary diagnostics, maintenance, service, ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

AUTO ELECTRONICS(summarized basics’ software)

Haka ka software kako na zile basics za OBD blaa blaa, ufanyaji kazi wa sensors, actuators, codes, nk! Picha/maneno mengi ya kitoto lakini huwezijua may be kanaweza kusaidia🤷‍♂️! Alafu kanafunguka ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

BENZ ACTROSS ELECTRONIC SYSTEMS

Sasa, this is intended for the technical personnel responsible for service and maintenance of Mercedes>Benz trucks. The contents in here are split up into: • function descriptions • component descriptions ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

BENZ STARFINDER🕵️‍♀️

BENZ kuna vi code code wanaotumia vya kumanisha kitu gani kwenye gari🤷🏼‍♂️! Mfano, kumanisha fuel pump wanweza kuweka code FP17/QU so kama hujui FP17/QU inamanisha kitu gani na kiko wapi🙄, ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

COMPUTER HARDWARE (beginner’s guide)

This book is intended to provide an in-depth introduction to the hardware and technology of the personal computer and to answer your questions about how it all works. Everyday we ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

Computer Repair text book

This this Computer Repair Textbook  is true book that reveals exactly how to be successful in the Computer Repair Business. This book is for those just starting out in the ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

ECU PINOUT/CIRCUIT DIAGRAMS

Huu ni mukosanyo wa picha au vitabu (PDF) yakuonesha michoro pamoja na kazi ya vifaa (componets) izilyopo kwenye motherboard za ECU. Mfano; IC ama EEPROM ya injectors, au diode ya ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

Hybrid cars’ Powertrain Systems explained

Hybrid Vehicle Powertrain Systems combine conventional powertrain components, an internal combustion engine and transmission, with new electric components, electric motor, power electronics and high voltage energy storage, such as a ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

Kitabu kufundisha KEY PROGRAMMING

Jinsi hii video inakuonesha, hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk! Yaani unapata almost kila umbea mhimu👌! ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

Kupata OBD CODE bila mashine

Especially kwenye hizo gari zenye haziina hii OBD socket mpya ya 16PIN, pamoja na kwamba diagnosis mashine za siku hizi zinakuanga na socket moja juu siku hizi gari zote ni ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

LANDCRUISER 150 (maelekezo ya ufundi)

Sii unajua kuna maelekezo jinsi ya kufungua, kufunga, kurekebisha, ku fanya hiki na kile...pamoja na michoro ya wiring, picha zote😎! Iliaandaliwa na wataalamu wenyewe👌, so.....? Hebu tazama hii video uone ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

LANDCRUISER200 (maelekezo ufundi👨‍🔧)

Obviously, sii unajua kuna maelekezo jinsi ya kufungua, kufunga, kurekebisha, kufanya hiki na kile...pamoja na michoro ya wiring, picha zote😎! Hebu tazama hii video uone niaje🙄, kiisha shuka chini uweze ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

LANDROVER LR4 (maelekezo ya ufundi)

Sii unajua kuna maelekezo jinsi ya kufungua, kufunga, kurekebisha, ku fanya hiki na kile...pamoja na michoro ya wiring, picha zote😎! Iliaandaliwa na wataalamu wenyewe👌, so.....? Hebu tazama hii video uone ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

Mitsubishi 4d56 ENGINE REPAIR/SERVICE MANUAL

This Workshop Manual is designed to help you perform necessary maintenance, service, and repair procedures on applicable Mitsubishi cars/trucks with this 4D56 engines.  Bora You download this book on your ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

MITSUBISHI L200 DIESEL COMMON RAIL SYSTEM

The common rail system uses a type of accumulation chamber called a rail to store pressurized fuel, and injectors that contain electronically controlled solenoid valves to inject the pressurized fuel ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

NISSAN GTRs’ SERVICE REPAIR MANUAL

This electronic service manual (ESM) is intended for serve, repair and troubleshoot Nissan GTR, Model R35 Series 2008-2016MY. Service manual contains the detailed and full description of repair and service ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

NISSAN NAVARA(maelekezo ya ufundi)

Sii unajua kuna maelekezo jinsi ya kufungua, kufunga, kurekebisha, ku fanya hiki na kile...pamoja na michoro ya wiring, picha zote😎! Iliaandaliwa na wataalamu wenyewe👌, so.....? Hebu tazama hii video uone ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

SUBARU FORESTER Service/Repair manual

This service manual iko kwa lugha ya English, and it has been prepared to provide SUBARU service personnel with the necessary information and data for the correct maintenance and repair ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma

Teach Yourself Electricity and Electronics

This book offers easy-to-follow lessons in electricity and electronics fundamentals and applications with minimal math, plenty of illustrations and practical examples, and test-yourself questions that make learning go more quickly.  ...
Bonyeza hapa uendelee kusoma